![Mimi Ni Nani ft. Stella Kareo](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/04/cf3077807a29408295c04ac79dfef548.jpg)
Mimi Ni Nani ft. Stella Kareo Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Mimi Ni Nani ft. Stella Kareo - Noel Nderitu
...
Jina lako, Jina lako
umenipa utulivu, Sina hofu unami,
I have no fear for you are with me,
Sina mwingine ila wewe Baba,
Mimi ni nani , wanipenda hivi,
waniiunuua juu, twasifu Jina lako*2
jina lako( Jina lako) *3
umenipa utulivu ,Sina hofu unaami,
the king of kings you never leave me, umeniokoa, mimi mwenye dhambi,
mimi ni Nani wanipenda hivi waniinua juu twasifu Jina lako*4
jina lako ni Yesu (Yesuuuuuu)
twasema Yesu(Yesuuuuuu) tunamsifu(Yesuuuuuu)
mponyaji Yesu(Yesuuuu)
mfariji Yesu(Yesuuuuuu)
mimi ni Nani ,wanipenda hivi waniinua juu, tasifu Jina lako*2(mimi ni nani Baba) mfalme wa wafalme, Jemedari.....
, mimi ni nan wanipenda hivi, waniinua juu twasifu Jina lako, waniinua juu twasifu Jina lako,waniinua juu twasifu Jina lako.