Ebenezer (Live) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Wewe jiwe na nguzo kila siku
Jana, leo na kesho, mwaminifu
Mfalme kaniokoa mimi
Mimi mwenye dhambi
Msaada wangu ni wewe, mwenye nguvu
Wewe jiwe na nguzo kila siku
Jana, leo na kesho, mwaminifu
Mfalme kaniokoa mimi
Mimi mwenye dhambi
Msaada wangu ni wewe, mwenye nguvu
Aaah
Ebenezer, umenitoa mbali
Ebenezer, bado watembea nami
Ebenezer, umenitoa mbali
Milele Bwana nitakuamini
Wewe jiwe na nguzo kila siku
Jana, leo na kesho, mwaminifu
Mfalme kaniokoa mimi
Mimi mwenye dhambi
Msaada wangu ni wewe, mwenye nguvu
Aaah
Ebenezer, umenitoa mbali
Ebenezer, bado watembea nami
Ebenezer, umenitoa mbali
Milele Bwana nitakuamini
Wastahili utukufu
Wastahili sifa zote
Umetenda mema Baba
Asante!
Ebenezer, umenitoa mbali
Ebenezer, bado watembea nami
Ebenezer, umenitoa mbali
Milele Bwana nitakuamini
Ebenezer, umenitoa mbali
Ebenezer, bado watembea nami
Ebenezer, umenitoa mbali
Milele Bwana nitakuamini
Milele Bwana nitakuamini
Milele Bwana nitakuamini
Milele Bwana nitakuamini
Milele Bwana nitakuamini