Habadiliki (Live) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2025
Lyrics
Muumba yote, nchini, mbinguni
Muweza yote, Yesu mshindi
Atahifadhi waliokombolewa
Kwa damu yake, Yesu pekee
Uliza Musa, alikiri unaweza
Daudi akaimba, waandaa mbele meza
Ngome ya uzima, ni wewe Bwana
Oh! Wewe pekee
Habadiliki, habadiliki
He is the same, Yesu habadiliki
Nimeonja na nimeona
Wa uzima
Yeye pekee
Muumba yote, nchini, mbinguni
Muweza yote, Yesu mshindi
Atahifadhi waliokombolewa
Kwa damu yake, Yesu pekee
Uliza Sara, aliona unaweza
Paulo naye Sila, wakasifu ukatenda
Ngome ya uzima, ni wewe Bwana
Oh! Wewe pekee
Habadiliki, habadiliki
He is the same, Yesu habadiliki
Nimeonja na nimeona
Wa uzima
Yeye pekee
Habadiliki, habadiliki
He is the same, Yesu habadiliki
Nimeonja na nimeona
Wa uzima
Yeye pekee
Nitakiri kwamba wewe Hubadiliki
Kwa uwezo wako sote, sote tu kamili
Damu yako yatosha pekee
Siku zote
Habadiliki, habadiliki
He is the same, Yesu habadiliki
Nimeonja na nimeona
Wa uzima
Yeye pekee
Habadiliki, habadiliki
He is the same, Yesu habadiliki
Nimeonja na nimeona
Wa uzima
Yeye pekee
Habadiliki, habadiliki
He is the same, Yesu habadiliki
Nimeonja na nimeona
Wa uzima
Yeye pekee