
Weka Piano ft. Brandy Maina Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2021
Lyrics
Weka Piano ft. Brandy Maina - Rekles
...
....
Dumba dumba dumba tumecome kudunda, tumecome zungusha dj Mr dj weka rhumba ,weka jaaam inachuna ,weka pianooo ,weka pianoo, aii ***
dumba dumba dumba tumecome kudunda, tumecome zungusha, dj Mr dj weka rhumba, weka jaam inachuna, weka pianoo, weka pianoo......
............
RECKLESS
...........
Nampendampenda nani?Nampendampenda nani, aah silali aah, aah sikuli
Nampendampenda nani?Nampendampenda nani?, aah silali eeeh mi naparty rastaaman niko juu ya **** na siezi party bila plan ama bila jaba yooh niite alibaba mmhh mi ndo baba yao na hatuezi haribishana aah, sidai madharau
........
Brandy
........
Dumba dumba dumba tumecome kudunda ,tumecome zungusha, dj Mr dj weka rhumba, weka jaam inachuna, weka pianoo, weka pianoo, aaai **
Time to go dancing ,time to go sleep,mah people bouncing ,they be on their way, tuko kwenye ****tupate na *** tunamavibes tumejaza kiba kibakibakibakibaabaa
.....
RECKLESS
.....
Na nishakusoma ,we unatung'ora ,oyah ushachoka na hata bado sijaanza ,sijaanza ngoja kwanza nipige makali na shada ,hapa huezi mblein hata ka unafanya kazi Nacada
.....
Brandy
.....
Dumba dumba dumba tumecome kudunda tumecome zungusha, dj Mr dj weka rhumba, weka jaam inachuna, weka pianoo,weka pianoo.....
.....
RECKLESS.
.....
Nampendampenda nani?Nampendampenda nani? aah silali aah ,aah sikuli
Nampendampen nani? Nampendampenda nani?aah silali, eeh mi naparty
.Brandy..
piano, piano,,papa ,piano piano .
***
piano piano,, papa,piano piano
...........