
Toto Lyrics
- Genre:Dancehall
- Year of Release:2021
Lyrics
Toto - Rekles
...
eah bro niaje bana uko fine na umepotea nniko na issue but sijui kama unaeza okolea.
issue gani bro?
siunajua tu ni ya magirlis kuna mwenye ako box budah na anakaa pangani.
na dem joh bana ulimpata wapi?
nini budah siunajua tu mimi ni nani, huyu toto ni mloyal na hajai leta visira na nilikuanaona nimpeleke kwa wazazi.
aai yoh budah uko sure?
budah niko sure budah najijui iyo pongi iyo pongi aki yanani ata siezi tumia sure iyo pongi nikidhani mi ndo wa kwanza kusugua.
eeer??sawasawa lakini blanda ni kumpeleka kwa mathaa niliuliza swali budah na hujanipa answer
swali gani?
aha toto ulimpata wapi?×5
cheki yoh siunajuanga mi ni brother sikuchochi sikupimi mi nilipewa number nikaipiga nikamshow baby girl siumeiva nipe username nikufollow kwanza insta juu lazma kwanza ningeconfirm kaa amechapa nimpige block moja safi bana ya kighafla bahati mzuri budah gyal dem ako finefine aki dai anything mi ntiabuybuy.
wazi bro haina issue lakini bro we ndo ulidai umecall ju kuna issue nambie.
nilikua tu nataka keja bana.
aayah ntatoka saa saba kaa iko sawa.
iko sawa.
na utapata wapi key, fanya ivi kuja mtaani uchukue spare kaa uko free.
safi bro.
na nauliza swali tena budah toto ulimpata wapi?
aha toto ulimpata wapi x8.