
Nare ft. Rekles & Ethic Lyrics
- Genre:Reggae
- Year of Release:2020
Lyrics
Nare ft. Rekles & Ethic - Lemon Lemonade
...
aaah nastaki fame nataka ganji kichoma na kibale bazenga ana kitambi kikoro nikiwashe(washe)Kam Jo n kinare. Nare *3 .leo n Monday lleo Monday*1 but it is looking like a Friday si job Kesho I think it is a holiday mi n mode m n mode kuja klas n kuonyeshe we n ngo'mbe njegi kubwa amebeba km ngo'mbe nipe glass leo sjabeba kikombe ,,, Arsenali BN been kikombe kukinyesha ntacheza n matope we n danda itabidi uwe mjanja we n Fala na bado unalalashika Fanta,konyagi tumemada .... nastaki fame nataka ganji kichoma na kibale bazenga ana kitambi kikoro nikiwashe washe Kam Jo n kinare*7 ..
Kam n kinare napendaga z Sare beb nipe Mali napendaga asali vl we n nyuki nafataga asali maasai na mkuki nachimba kin fete m sipendi chuki nataman nkupate nkichek chupi nafanya nkufate na vl we n mfupi inafanya nkuhate na venye uliwaka n dhan we n nare
mi ni mode mi ni mode kuja class nkuonyeshe we ni ng'ombe cheki