
Sitaki ft. Best Boomer Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Sitaki ft. Best Boomer - Rekles
...
....aahh ...yow yow....best
Cheki I say siko ndani nimebaki
Bouncer anadai sina kipande
iyo ni takataka mi sitaki
iyo ni takataka mi sitaki
Cheki I say siko ndani nimebaki
Bouncer anadai sina kipande
iyo ni takataka mi sitaki
iyo ni takataka mi sitaki
Mi Bro sinanga ID ka unadai doh sema upewe saizi (sema upewe saizi )
Usibonge bana sikuskii naunakaa dead kwani we ni maiti
Piga dogy niki-barck barck sorry mi si rasta
We hudunga lable na usichanue joh kipara
Niko koinange nmejaa kutu na sina maweeng
Unatakaje nkuje bash bila ata madeem (dem dem)
Sina time I mean,,time ninayo ni ya kulala na kuvuta weedy
Ustake jua mahali imetoka we kuja na riz........
yeah.......
Cheki I say siko ndani nimebaki
Bouncer anadai sina kipande
iyo ni takataka mi sitaki
iyo ni takataka mi sitaki
Cheki I say siko ndani nimebaki
Bouncer anadi sina kipande
iyo ni takataka mi sitaki
iyo ni takataka mi sitaki
Hakuna venye maskini anaweza sota...Money...
Dem yako ametekwa na some of daughter
Unanikunywa nani na hujanichota
Kwa line anasimama kama voter
Nakata maji water mawe nakatisha usinitishe kujamba time mi naharisha
Wamenyonga sana monkey wakamdedisha hi life inatakaga mbio kimbisha
Mi ndiye kinjengetile wa ngwale
wanashangaa sinuki jasho nimetoka mbalee
Usinitende ntakucheza kama kamaree
Penzi la ex ni kama mavi ya kale
Yeah......
Cheki I say siko ndani nimebaki
Bouncer anadai sina kipande
iyo ni takataka mi sitaki
iyo ni takataka mi sitaki
Cheki I say siko ndani nimebaki
Bouncer anadai sina kipande
iyo ni takataka mi sitaki
iyo ni takataka mi sitaki
.........................mi ndo hutokanga mapema kusaka so ni lazma niji-feel
Lee hudai mi ni fire..ye ndo hufuatanga upepo so cheky ka-location wamepin
sai life ikiumana.....tunafuatana Soweto ju Buru hatuwezani na mabling mbona basi kujigamba
Na si wote huishigi gheto ni tu unatoka west pia we ni east
Cheki customer akitaka taka taka nampea
.........
Buda customer akitaka taka taka nampea
yeah......
Cheki I say siko ndani nimebaki
Bouncer anadai sina kiapande
iyo ni takataka mi sitaki
iyo ni takataka mi sitaki
Cheki I say siko ndani nimebaki
Bouncer anadai sina kipande
iyo ni takataka mi sitaki
iyo ni takataka mi sitaki