No Neva ft. Koffi Machette Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
No Neva ft. Koffi Machette - Rekles
...
No neva, No neva, kuwacha mavela, no neva
Ukidai makali we pewa mimi kuwacha mavela;No neva
Mbona buda joh unasuck sana bana ka nectar
(Iza Iza Iza)
Chingri me huchapa dry jamaa sidai chaser
(mbaya mbaya mbaya)
Aty revolutionary we si Mandela ukidai pewa hakuna pressure kuna tu pesa
Niko majimaji buda kila area ndo maana bana me huzururanga na bartender
Skiza shule me nilikuwa naitwa mannerless;Saa hii nashika mamita toka kwa salary
Mbona unaniita na Niko Germany;Nabonga na madiva wananitamani
Ukidai makali we pewa mimi kuwacha mavela no neva
Ukidai makali we pewa mimi kuwacha mavela no neva
(No neva,No neva,No neva kuwacha mavela no neva no neva kuwacha mavela no neva)
Yeah...Aty nini husumbua rappers wakirap
Si aty beef cheki bro ni juu vitu zako zote si huskizanga joh ni crap
Me hukufeel Shida ni hupendi ukweli we upendwa kuchochwa na mafans
Na pia juu sipendi kesi acha ni nyamaze juu najua umejaa gas
Siwezi kuacha mavela pia veve *** Napenda zishike nifike hadi juu
Kwanza alele naseti na njugu
Nikiomoka hakuna tena cha guu;Nikuririma kuseti makwela na pishori kwa vibeti Mafutani nasimanishi kwa petty
Rong rine nachachisha Hadi Westy
No neva ni vela forever... whenever leta mali Safi usilete whatever
Ukidai makali we pewa mimi kuwacha mavela no neva
Ukidai makali we pewa mimi kuwacha mavela no neva
(No neva no neva kuwacha mavela no neva no neva kuwacha mavela no neva)