![Mkuu Ndugu Yangu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/16/174c87a637a54a7b9109d1db9d4e07bf.jpg)
Mkuu Ndugu Yangu Lyrics
- Genre:Dance-pop
- Year of Release:2021
Lyrics
Mkuu Ndugu Yangu - Nay Wa Mitego
...
this is ausum.
naliamsha×2
unapenda bata na hauna hela...
we mkuu ndugu yangu
unaiba alaf unaogopa jela
we mkuu ndugu yangu
shemeji kazima taa umemgeuza dem
we mkuu ndugu yangu
unajikuta rijali hunaga cha shem!!
we mkuu ndugu yangu
wadanganye wengine si hautusumbuii
we mkuu ndugu yangu
unampakia mkongo dem humjuii
we mkuu ndugu yangu
we shabiki maandazi kwa show hauna shagwe
we mkuu ndugu yangu
unajiita malaya huendi kwa mparange
we mkuu ndugu yang
.aii wewe ..we we we we..
we mkuu ndugu yangu
yaani wewe we we wewe..
we mkuu ndugu yangu×2
naliamsha tena ..naliamsha..×4
kila wiki laki ya kusuka leo nakupa ya kunyolea..ndugu yangu..
siunajua kuna makato na unataka ya kutolea..aah ..iii
mambo ni vice versa..mwenzenu nnakesha..usimuone ametulia nikikupa atakuua na presure...
et kisa nakudai simu hupokei ..
we mkuu ndugu yangu..
nishalipa chumba mbna baby hutokeii.
we mkuu ndugu yangu
unajiita dj huigi huu wimbo
we mkuu ndugu yangu
na shule itakushinda kutwa unashinda chimbo
we mkuu ndugu yangu..
aii wewe wewe wewe..
we mkuu ndugu yangu
yaani wewe wewe wewe
we mkuu ndugu yangu
naliamsha tenaaa....naliamshaa..4
....