Kwani Unaogopa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Kwani Unaogopa - Nay Wa Mitego
...
Kariooo,,aaah wee imeisha iyooo×2
Kama unadanga danga umalaya sikazi yko(kwani unaogopa)
Kama unawanga wanga uchawi si fani yako(kwani unaogopa)
Twende bar yajeshi tuleewe alafu tuanzishe fujo (kwani unaogopa)
We ni mwizi sindio kazi yako iiba paka polisi(kwani unaogopa)
Kariooo..aaah wee imeisha iyoo!×2
......
We in mlevi na unapenda pombe kunywa paka uzime(kwani unaogopa)
Una hamu na huna demu beeba goma la mtu(kwani unaogopa)
Pisi Kali alafu upo single siuibe mume wa mtu(kwani unaogopa)
We ni hater unachuki oonesha voiya kutu(kwani unaogopa)
kariooo..aaah wee imeisha iyo!×2
.....
Malaya piga keleeleee!
Wahuni piga keleeleee!
Utamu wapombe uleeweee!
Raha yamziki ucheezeee!
Chezaa...aiii..cheza aiiwee..cheza..aiii..cheza waii..cheza..aiii..chezaa...chezaa..maaamaa! aiyayayayayaaa! haha..mziki raha bana simnaenjoy...
Aya twende turudiee..twendee..okay chini..chini..chini..chini..
Twende juu..juu..juu..juu...aiiyeeeehaa..hahaa
Haaa okay ni true name..on the beat yooh!..kudaadeki
Karioo aaah wee imeisha iyoooh......
freenation.....