
Tribulation Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Tribulation - Dizasta Vina
...
Yeah
We ni we msosi mfano chips na maini
Ila mbishi kama nini
Huu ni mkosi vipi hutaki kuamini
Unawekwa kwenye list ya maiti Sheikh
Unakuja bila tarehe
Unagusa busha wazee
Unanyukwa utadhani mfungwa unasuswa
Kama unanuka unakufa kabla ya balehe
Sanaa ya uchanaji hauijui
Bunduki za maji haziui
Sa' si bora ungemsema hata kigogo
Utalala pema maan sina wema hata kidogo
Yeah unanitolea kibesi
Upande huu haufui maana haujauzoea fresh
Huwezi andikiwa wimbo ili ukabattle
Sa sijui niku -diss we au nimdiss aliyekucholea Verse Sheikh
Superstar je nalipa unauza?
Una mdinga una nyumba?
Unavimba maana umeanza kupita na wachumba
Swali lini utaanza kuwalipa maproducer?
Yoh hauna facts you just lie things
Unajibu disses kwenye side feeds
Sijui round pound high speed flying kicks
Flow ni moja tu vipi nikuue nikiwa na style nyingi
So jitahidi uwe unapanga hoja
At least weka wazo zima kwenye Stanza moja
Ukiwa unarukaruka kama paka mgonjwa
Una mzuka unasingizia ni flows unakaanga soda
Hauna mastanza
Ndo' nilivyo tabiri
Umejazwa upumbavu na unajua
Kwahiyo mwepesi kama goli la kwanza
Ama table ya pili
Au darasa la tatu... So nakuua
Unaji-contradict sana
Unanitukana wakati unajitukana
Tuliacha kuattack majibu tuna-battle njia
Unamtukana dada 'angu ambaye ni dada 'ako pia
Na unadada pia anapakatwa na anasaula
Tunamjua adi jina anaitwa Paula
Lugha ni ukumbi hauumiliki
So we sio Mshairi mzuri hauambiliki
Mcee nimeshiba vina ni mikosi
Mstari wa mbele kama pina
That’s too predictable, nabaki nje ya box nishaidivorce dini, wenzio Wanachukua mashost wakini-quote mimi
Fix your vocabularies you can read more
A good poet is the master of all big words
Hata uishi juu ya kilele the entire system
Ntabaki mwenye info elephantiasis
Talk about story telling look at damn halo
Sequel zako nyepesi you're not ready bado
Your story extensions man are scary narrow
Your plot twist your point of view all very shallow
I'm a better artist than your whole label
And I took story telling to the new level
You can't match my skill you can bow down and kiss ring
My storylines man are too stable
Pruu mpaka maka haunikuti
Kiakili we mpuuzipuuzi unapatia vyema
Hizo baka baka pussy pussy
Nilizitabiri kama kuchi kuchi bado ukarudia tena
Unalowesha flow bado tetenus
So umetaka nikutese now jiweke fasi
Nikupenge makamasi ujitenge nasi
Ujichenge maana unaleta usengenyaji
Kabla ya kuja tunaposettle manguri
Ongeza kazi ongeza kanda mseto sampuri
Afu kesho acha mapuri yanafanya uhisi umekua
Na bado haujapiga nyeto vizuri
Mara umeni-introduce mara naokoteza promo
Na we ndio ulianza kunitaja uliteleza domo?
Habari zimezagaa watu wananiona shujaa
Sasa ningetaka ustaa si ningecheza Porno
Unabuni weakness za oponents wako
Unazi-adress na unahisi control battle
Wakati label imekubeba unasinzia rodi
Kama mwali upo ndani na unalipiwa kodi
Who told you to come aboard? over
Mission compromise abort? over
Corporal you not alone and you don't grow, over
Go Master your bets 'cause you don't flow proper
Kitambo tulidili na ma yo yo
Wanaoficha ubovu wa mashairi kwenye flow flow
Mistari ukianza kuchambua unaficha sura
Flow wapi we' unaweza kuflow kumshinda Nura
So "Ama" rack him him giving him a Big L
Watch him die by my side while enjoying the big sale
Nilisema nikimbattle mtu namtaja jina
Sikukubattle nilikuelimisha sasa nakutaja Rapcha
Watu hawaigusi hii medulla
Sifanani na vikundi vya ma-regular
Hatujashindwa ni maamuzi tunavyo-operate
We unaenda mainstream tunaenda cooperate
Kuwa na kikomo joh, basi ukikosa kazi no
Don’t slap asses that’s homo bro
Labda haujui somo kuongelea ass ya mwanaume mwingine
Kwenye track that's not normal
Juzi juzi tu ulikuwa mtoto pori
Leo unaita wachumba inbox mpige story
Wachumba wanashangaa huyu jamaa mbona mbwiga
Followers kadhaa ameanza kujiona Bieber
Busy na mchongo unavyotext mashori
Ambao wanandoto ya kufanya mapenzi na Mondi
Mnaandaa verse wawili and still not enough
Now I'm taking y'all to the space Nigga buckle up
Marapa wanapublish mashpapi wao
Na wanapo-push ni makapi now
Hawako properly prepared kwa mi' papa lao
Papa Duvee mi ni Punchline powerhouse
Nakata wings si ulitaka upae
Kumbuka Ibrahim alimtoa sadaka mwanae
Mungu akamkataza, Namwambia Mungu this is personal
And this is not half of what i have in my Arsenal
Roho nyeusi umeishona so, purify
Hata ukikoroma bado you still a cutie pie mwah!!
Nenda forth and back kama ping pong
SPECIES zenu haziwezi ORDER CLASS kwenye hii KINGDOM
Umeanza kugonga gonga nyagi unaona umekua
Unapiga nyonya myonya bangi kunyonga hujajua
Upo juu ya jukwaa unalilia tuzo
Mi bado niko underground nashkilia nguzo
Mnafanya wasanii tuanze kuboa meza
Mamaako angetaka abortion ningetoa pesa
Tushatega money before hatucheleweshi
We gangster kesho bishoo hauleweki
Like i buy burdens
Hofu yangu ni Kwamba now I'm turning into a bad person
Nakushangaa unajiona star man you not really
Shave clean your dreads are whack and you're not Pretty
I BROUGHT IT HOME LIKE I'm GORDON BANKS SO IM STILL A DON
T