Hakuna Cha Peke Yako Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Hakuna Cha Peke Yako - Mzee Wa Bwax (TZ)
...
"eyoo kenny"
weee jamani sikuhizi hakuna chapekee ndo maisha ya kibongoo
wekama ukitaka wa peke yako katengeneze wa udongo
wee machizi boti sikuhizi hakuna chapekeee ndo maisha ya kibongooh...
wekama ukitaka wa peke yako katengeneze wa udongo
Kuna wanaume wamejaliwa pesa chumban majabu zirioo
Ona na kwako atafata pesa mapenzi kwa wenzio
Kunawanawake wamejaliwa shepu kitandani kama googooh ah! staili moja mende kafa wanaboa siyo kidooogo
ah! wee dada uwe mzuri vipi uwe mrembo vipi we! kunie ndo hujui sasa kwanini nisikuchiti
ah! wee dada uwe mzuri vipi uwe mrembo vipi kupeti peti hujui sasa kwanini ni sikuchiti
weee jamani sikuhizi hakuna chapekee ndo maisha ya kibongo..
wekama ukitaka wapeke yako katengeneze wa udongoo
wee machizi boti sikuhizi hakuna chapekeee ndo maisha ya kibongooh...
wekama ukitaka wapeke yako katengeneze wa udongoo
hata utwe bosi uwe na ela utagaramia wapo wanao mega kisela babaa na ununue wigi na kijora kwako hatosheki anaridhika na kabwela bwanaa!
usijisifu kwako amefika dada kwahiyo shepu yako..mana kunamsemo ndo unasema kizuri ule na wenzako
ah! wee dada uwe mzuri vipi uwe mrembo vipi we! kunie ndo hujui sasa kwanini nisikuchiti
ah! wee dada uwe mzuri vipi uwe mrembo vipi kupeti peti hujui sasa kwanini ni sikuchiti
Amini kwamba mzee wa bwax mtoto wa nje ya ndoa ugoko wa mende biskuti ya chumaa kaata tuone chuma kwa chuma cheche
awee dada unajiita chura unaogopa kusaula basi funuwa zote waonyeshe Radhi masela saula