![Hakuna Wa Pekee](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/17/d4f8e6aca093455d951d1767cde98181.jpg)
Hakuna Wa Pekee Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Hakuna Wa Pekee - Mzee Wa Bwax (TZ)
...
Eh .ehyo Kenny
we jamani skuizi hakuna cha pekee ndio maisha ya kibongo
we kama ukitaka wa pekee ako katengeneze wa udongo
wee machizi boty skuizi hakuna wa pekee ndo maisha ya kibongo
we kama ukitaka wa pekee ako katengeneze wa udongo
kuna wanaume wamejaliwa pesa chumbani maajabu zero
ona na kwako atafuata pesa mapenzi kwa wenzio
kuna wanawake wamejaliwa shepu kitandani kama googooooo
aaaah staili moja mende kafa wanaboa sio kidogoooo
aaah we dada uwe mzuri vipi uwe mrembo vipi we kuniendo ujui sa kwanini nsikucheati
aaah we dada uwe mzuri vipi uwe mrembo vipi kupetipeti ujui sa kwanini nsikucheati
we jamani skuizi hakuna cha pekee ndio maisha ya kibongo
we kama ukitaka wa pekee ako katengeneze wa udongo
wee machizi boty skuizi hakuna wa pekee ndo maisha ya kibongo
we kama ukitaka wa pekee ako katengeneze wa udongo
ata uitwe bosi uwe na helaaa utagharamiaaaa wapo wanaomega kisera babaa
na ununue wigi na kijoraa kwako atosheki anaridhika na kansela bwana
usijisifu kwako amefika dadaa kwaio shepu yako
maana kuna msemo ndo unaosema kizuri ule na wenzako
aaah we dada uwe mzuri vipi uwe mrembo vipi we kuniendo ujui sa kwanini nsikucheati
aaah we dada uwe mzuri vipi uwe mrembo vipi kupetipeti ujui sa kwanini nsikucheati
amini mzee wa bwaxy hapa mtoto wa nje ya ndoaaaaa
ubongo wa mende biskuti ya chuma kaataaa tuone chuumaa kwa chuma cheechee
aaah we dada unajiita chura unaogopa kusaula
basi funua zote waonyeshe radhi kasema saula ×3 saula dada naona pori
saula×3 saula mama saula (masha love)
saula×3 funua zote saula(jaki umeme)
saula×2 orara rire raraaaaaah Oooh raraaa
Oooh nakubali selemani kidunda champion maweee
nsalimie watoto wa mji pesa watoto wa vizazi jeuri
aaah nawaamini wanajeshi wangu watoto wa Brazil watoto wa sinagogii gogii
Dj manyau ta ta touches baby.