
Jibinue ft. Kayumba Lyrics
- Genre:Traditional
- Year of Release:2022
Lyrics
Jibinue ft. Kayumba - Mzee Wa Bwax (TZ)
...
eeyooo kenyy
we jibinue uoneshe kalio madanga wa mjini wamwage salio
kama hauna utasikia kwa wenzio cku hizi mpk ma sponsor wanapenda kalio
we tatizo mashalove tako hana kwann asijibinue,
we gigy money chura hana kwann asijibinue
we nana mapozy tako hana kwanini asijibinue
Rashida wanjala chura hana kwanini asijibinue
Jibinue nione mamaa we dada nione we mama nione tena jibinue we dada nione we mama nione
ooooh huko instagramu kuna mambo, huko telegram kuna mambo huko tiktok kwa mange kimambe app kuna mambo
ma sponsor wa mjini wanataka mambo
uwoya kajibinua kwani bado hamjamuona
mobetto kwani bado hamjamuona
amber lulu anajibinua kwani bado hamjamuona
juma lokole anajibinua aaaaah aaah
jibijibinue jibijibinue hata km hauna shape dada jibinue hata km huna wowowo jibinue
Jibinue nione we dada nione jibinue we mama nione
siku hizi hawaangalii sura wanaangalia wowoo
ma lex haangalii sura anatazama wowowo
wahuni hawaangalii sura wanatazama wowowo na dobo hangalii sura anatazama wowowo
niletee wowowo nipe wowowo niletee wowowo wahuni hatutaki sura
amin kwamba mzee wa bwax mtoto wa nje ya ndoa
aaah kayumba hapa kataa tuone chuma kwa chuma cheche