Mapenzi Lyrics
- Genre:Singeli
- Year of Release:2023
Lyrics
Mapenzi - Mzee Wa Bwax (TZ)
...
Wanangu alo Acha Ka Achwa ka achwa tena yana yana chosha mapenzi
Kawaida Ma Ex kuludiana Yana chosha Mapenzi
Oooooh Ooooh MambO ya ku Umizana me mwenzenu Si yaweZi ...
Ku toana machozi kwa Sababu Ya Mapenzi
Oooh Mapenzi sio muziki ku sema uya ingie ucheze
na tena usiombe unae mpenda umu potezee
Eebwana Mapenzi vita mimi bora ni jiongeze ni ende bar ni agize shisha na tungi niji pongeze
ki nachofanya ni chukie mapenzi makabila
kuachika na zai lissa ku dai Talaka siku hizi
mapenzi yamegeuka mapicha picha akia mungu na kwambia ukiji changanya umekwisha
OoooooH
Wanangu alo Acha Ka Achwa ka achwa tena yana yana chosha mapenzi
Kawaida Ma Ex kuludiana Yana chosha Mapenzi
Oooooh Ooooh MambO ya ku Umizana me mwenzenu Si yaweZi ...
Ku toana machozi kwa Sababu Ya Mapenzi
ooooooooH
si bora ni umwagilie moyo Acha wanione kolo
na ogopa ya kinikuta ni sije kulaumu moyo
ya naweza kufanya u date
ukimkuta na danga lake .
yana tia uchungu .......
Ata kae vamia shauli akE
Uja siri kujifany bingwa la
kupeti mie sina hayana...
komando usijaribu kuya
pima Mapenzi yalikua zamani
asaiv fake mama Amina