Nalewea Lyrics
- Genre:Singeli
- Year of Release:2023
Lyrics
Nalewea - Mzee Wa Bwax (TZ)
...
Mimi nachojua hakuna anaenidai kitu
Sina anaenidai jero wala anonidai buku
Leo nikutumia pombe mixer na kuku
Yani ni mashamsham leo mambo ipo huku
Nishalipa madeni na vikoba
Ilobakia nalewea
Nishalipa kodi marejesho
Ilobakia nalewea
Watoto shuleni nshalipa ada
Ilobakia nalewea
Kwa boss nishapeleka hesabu
Ilobakia nalewea
Ata nikimwaga pombe chini kwani pesa si zakwangu
Mi mwenzenu leo sisemi chochote ila mwana sheria yangu
Kwa kesho sijui ila kwa sasa ninahela
Weita lete mtungi alafu sitaki ngonjera
Kwa kesho sijui ila kwa sasa ninahela
Weita lete mtungi alafu sitaki ngonjera
Nishalipa madeni na vikoba
Ilobakia nalewea
Nishalipa kodi marejesho
Ilobakia nalewea
Watoto shuleni nshalipa ada
Ilobakia nalewea
Kwa boss nishapeleka hesabu
Ilobakia nalewea
.......
We kama hujalewa simama mguu mmoja
We kama umelewa we tikisa mojamoja
We kama umelewa simama mguu mmoja
We kama hujalewa tikisa mojamoja
Basi panda juu ya meza juu ya meza
Simama juu ya meza
Basi cheza juu ya meza
We si mama juu ya meza
Basi twende