Chini Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Chini - Nay Wa Mitego
...
.....FreeNation(freenation)........v v Vm
Oyaa oyaa kumekucha wazee fisi kakabidhiwa butcher wazee,tule ujana hatufiki uzee,
pesa inatongoza ukiwa domo zege,kwa neema ya bwanaaa na ifunuliwe,
mambo yamekaa vibaya usiyachungulie wakubwa tunasema mtoto halali na pesa,
ukichunguza mambo yangu utakufa na presha,ukinikosea kabla hujaniomba msamaha,nasamehe tu,
sifugi stree maisha yangu ni sherehe tu,dunia duara usishindane na ulipokotoka,bia haikomolewi bwana mwenyewe kachokaa,,,,,
aya weka weka weka weka weka weka weka ayaaa kamatia weka weka weka weka weka weka weka ,
Chini kwa chini nasema chini kwa chini
chini
chini kwa chini wanangu chini kwa chini
Chini kwa chini nasema chini kwa chini
chini
chinii kwa chini wanangu chini kwa chini
Chini,,,
chini chini chini chini
verse2:
Akiipeleka chini we isubilie juu,(juu)maisha mazuri ila bado sina makuu(kuu)
mtanuna mwisho mtasusa,si mmeandaa tofali mje kujenga ufa,shida wote tunazo na bado tuna~banjukaa,tushamtukana mamba na mto tunauvuka,treni imeanguka ,mpira umepasuka,ushajijua una kipara unataka kusuka,izo chuki zako ni bure ,huwezi kuwa mimi kafie mbele,utakuua wivu we ngedere tushazichangachanga njoo tule,
aya weka weka weka weka weka weka weka ayaaa kamatia weka weka weka weka weka weka weka ,
Chini kwa chini nasema chini kwa chini
chini
chini kwa chini wanangu chini kwa chini
chini
Chini kwa chini nasema chini kwa chini
chini
chinii kwa chini wanangu chini kwa chini
Chini,,,
Chini chini chini chini
izo chuki zako ni bure,huwezi kuwa mimi kafie mbele utakuua wivu we ngedere tushazichangachanga njoo tuleeee,,,,,,