SELEKTA ft. Oksyde Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
intro
Ricko beats
Mr ROA
verse 1(femi one)
paparazzi anapiga picha
tumechomwa na captions ig
pamba ni clean
tunazingatia hygiene
makali ya pepe supu
ukipiga na dry g
ndio definition ya wanjiku
uki search queen
pigeni durat na mangepa
nikidunga crown
maneger hashiki simu
ka hujalipa full amount
claun anasema anajua
i don't fool around
fika place Niko
kwa hii race tutakula round
kula foul nilinyanganya refa firimbi
hii ndio long term benefit ya
uji wa wimbi
manzi makmende na
wisdom ka ya bingi
ndio usimame ka Mimi
lazima uchimbe misingi
vile na go deep ndo vile na go hard
hii ndio budalangi season kwa market
ndo mi na flood
kuzidi mi nazidi na ujanja kama spidi
mi na pinzana na ganji
sema mabwana na mabibi
big up x2, big up x2...
verse 2
yoh,
faster faster ni femi na master
siku hizi naskia mpaka supergetti ni pastor ah,
pastor blasta to hell ni disaster
dredi bado nikinyoa wataniita murasta je,
luku ni ya kibuda nanni
ata dharau narushiwa kibuda daddi
ambia chef acheze sembe na osuga nanii
Na kasupu ndo ziraruke kuruka nanii
catalogue nasimama na the empire state
entire state wanastand by the great
ni oxi na femi kwenye tune ya riko bandem
itabidi wametoka kijiko
pombe freshi ka tikila unaongezanga ice
mistari huanga richi nimechanganya maspice
tamu sana with the vybes
ni lazima watanice
zinakuom zimepangwa designe organised
set vile iko organized
mafioso ukisize tuna lawyer kwenye kesi
bro ulizia your guyz
wachana na harmonize
mi huaga nina jeshi skilty
skize nikiangusha ubeti
get it tamu kushinda ata soda creti ah
skiza voici hatuchezi
chobo na makanzu wanapigwa kimessi
champion mi i walk like Buju banton