![GREATNESS](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/26/bf4454462a96403e8ed08cebe111a200.jpg)
GREATNESS Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
GREATNESS - Femi One
...
Femu one
******"""
Oya banman
kwanza nipe
snare na tramble na base
leo steam zinashika kaa
veve ya base
been lit kama mix ya vela na gej
nilishapanda ile nganya wana
ngoja kwa stage
Imetoka mwiki imeenda very far
na mahali imefika inachuna mahali inafaa
kaende kaende gear 5
very fast
hakuna kitu inaweza fanya
shiko areverse
miaka saba si mob
so mi siwezi kustop
since day one
vichwa ka ziko bob
bado na punch
bado kujo zina drop
bidii yangu inafaa kupewa
round of applause
ama page kwa fox
top 30 under 30
niko na seat kwa table
so sitaki hizo ma bakshish
bad bitch
nyi mmekuja jana
nyi mabarbie
so sifai kutoa mshipi
mtachapwa na patipati
ka watoto
it was all a dream
I remember
flow hbr
mistari zingine mwenda
saa hii
nniko zoom nabonga na mabazenga
na ma linkers ni walewale walinilenga
so ukicheki na ringa sa zingine inabidii
if you saw where I came from
i swear you won't believe it
day one na rabbit
day one na denno
on the road to ridges
na tumechachisha frenos
so if you think am done
your wrong me ni femi
so sick de fire
don't come near me
monster me nikishika na chinja ua
na nimejipin ukileta zogo na kufyatua
niko great for greatness
deep skin nachunde bado ni stainless
ni salamu tu za rap
so mi sitasema mengi
na kwa haya machache
si the album is ready