SINA HAJA ft. Sanaipei Tande Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
SINA HAJA ft. Sanaipei Tande - Femi One
...
ssina haja mi ,sina haja mi,sina haja mi sina haja mi, sina haja mi ,sina haja mi,sina haja mi ,sina haja mi, ssina haja mi, ssin haja mi, sina haja mi, sina haja mi. mblaina amedunga earphones kwa clabu(kwa clabu) beer inashika juu ya sina tabu(sina tabu) life nakula kwa sinia na atabu nataka leo nilewe nikuambie i love you,nikiwa sober niko na maringo na ego ndo maana nyi hushindwa mbona mi hushindanga single mi humingle lakini roho yangu huwezi dingo , iam simple lakini kupenda mtu si simple ,diva kimwili gangster kiroho ,hii Nairobi inafanyanga nifiche mafilo hawa maman wanaweza kufanya fanya ,wanauma kifuliza mpaka ukipanya panya, . ohh(sina)sina haja mi sina haja mi sina haja mi, nimekaza moyo niite fiti solo sina haja mi sina haja mi sina haja mi nimekaza moyo niite fiti solo ooo,,. confession niliachia mafala opps i mean confession niliachia mafather hii roho sifungui hata ukikuja na muster hiyo shine hainistui hata ukijipaka mafuta juu kah ni doh niko nayo kwa wingi labda uniroge na madumba za mwingi na sina bei na kaa ingekua na bado hamfiki juu ukinikatia nakuweka kwa zone ya kirafiki ahh diva kimwili gangster kiroho hii Nairobi inafanyanga nificha mafilo hawa maman wanaweza kufanya fanya wanauma kifuliza mpaka ukipanya panya. ahh (sina)sina haja mi sina haja mi sina haja mi nimekaza moyo niite fiti solo sina haja mi sina haja mi sina haja mi nimekaza moyo niite fiti solo ooh. femi amesema yote wacha hata mi nichoche itakuaje unadunga unatupa halafu mi nibaki miguu wazi nikikupa , you must be out of your mind ,to think that you can handle my kind, once bitten twice shy ukichoma mara once middle finger to you bye bye. ohh (sina) Sina haja mi sina haja mi sina haja mi nimekaza moyo niite fiti solo, sina haja mi sina haja mi sina haja mi nimekaza moyo niite fiti solo,oo .sina haja mi sina haja mi(sina)sina haja mi sina haja mi sina haja mi (sina) sina haja mi sina haja mi sina haja mi (sina) . ??niite fiti solo(fiti) niite fiti solo (solo) niite fiti solo ooh(fiti) niite fiti solo(solo)niite fiti solo(solo) niite fiti solo oo ??niite fiti solo(fiti) niite fiti solo (solo) niite fiti solo ooh