![ADONAI ft. Bern Muziki](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/04/cebb5defef6b44b48adb8e1cec9afae0.jpg)
ADONAI ft. Bern Muziki Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Adonai ft. Bern Muziki - Femi One
...
(Bridgex2)
Somebody’s daughter me hukuita fafa
Cheki vile we umenifikisha far
Umenibariki sana vile vile inafaa
Jehovah we ndio adonai me ndio my God
Chorus x2 (Bern)
Giza liki pass over me
Dua nitapiga me sitakoma me
Naju uko bado nami
Wewe ndio mwene nyaga adonai
(Hook x2)
Adoo Adoo Adonai
Adooo
Adoo Adoo Adoo Adnai
(Verse 1) Femi One
Umebutter my bread for days
Usingizi nikiskia sijawai kosa baze
Kinenge nikiskia sijawai kosa plate
Vile naweza repay daily nacontemplate
kwanini nisichachishe
Vile we hucome through visufficient
Candle nikizima unagrant wishes
Na maoffence zikicome uko kwa defence
Unani defend
hujawai niweka on hold
Juu kwa mipango zangu me hukuweka on board
Misuko suko ikikuja we ndio unacontrol
We ndio unanichunga mimi mwana kondoo
Hujawai niweka on hold
Juu kwa mipango zangu me hukuweka on board
Misuko suko ikikuja we ndio unacontrol
We ndio unanichunga mimi mwana kondoo
Chorus x2 (Bern)
Giza liki pass over me
Dua nitapiga me sitakoma me
Naju uko bado nami
Wewe ndio mwene nyaga adonai
(Hook x2)
Adoo Adoo Adonai
Adooo
Adoo Adoo Adoo Adnai
(Verse 2) Femi One
Vitu ka pesa na fame zisifanye mimi niku ignoree
Tangu uni form umenitolea form
Nikirudisha mkono we bado ndio unanigive more
Nikiwa low we bado ndio nani give hope
Unicharge Jah jah
Na nguvu zingine Ajab
Alfa na Omega hakuna mwingine Above
Yeh
tell me who
Can do what you do
Si amini binadamu i believe in wewe tu,juu
hujawai niweka on hold
Juu kwa mipango zangu me hukuweka on board
Misuko suko ikikuja we ndio unacontrol
We ndio unanichunga mimi mwana kondoo
Hujawai niweka on hold
Juu kwa mipango zangu me hukuweka on board
Misuko suko ikikuja we ndio unacontrol
We ndio unanichunga mimi mwana kondoo
(Bridgex2)
Somebody’s daughter me hukuita fafa
Cheki vile we umenifikisha far
Umenibariki sana vile vile inafaa
Jehovah we ndio adonai me ndio my God
(Hook x 4)
Adoo Adoo Adonai
Adooo
Adoo Adoo Adoo Adnai