![Nyoko Nyoko ft. Xray, Odi Wa Muranga, Mbithi & DJ Lyta](https://source.boomplaymusic.com/group1/M0C/BD/46/rBEeMV2THwuATrjCAADIFMEu-mg352.jpg)
Nyoko Nyoko ft. Xray, Odi Wa Muranga, Mbithi & DJ Lyta Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2019
Lyrics
Nyoko Nyoko ft. Xray, Odi Wa Muranga, Mbithi & DJ Lyta - Femi One
...
Ero unanisoma ju nina rungu ya jamii Hapo si unajua nakuchorea mami Hakuna haja ya cancer hapa moshi ni manduku
Tupu nazitoka bana za athuthu
Si hapo ukinitoka nyokonyoko(Nyokonyoko)
Ju hapo ukining'ora ni mamboko
(Ni mamboko)
Morio ukining'ora nyokonyoko(Nyokonyoko)
Juu hapa ukining'ora ni mangoto(Ni mangoto)
Nyokonyoko, Nyokonyoko wooah Nyokonyoko, Nyokonyoko weee Nyokonyoko, Nyokonyoko Ngai Nyokonyoko, Nyokonyoko weeh
Wanjiku amejipaka wanja
Jicho peptang juu ya kiganja
Macookie na makeki za kibanda
Na mifuko zimeshona tu na mabanda
Exhibit zimejificha kwa mbosho
Na marubber after kuchipo si ni kuthosho Barter trade si nilifikaga na vidosho Rombosaga maana kesho huku ni kegocho
Alafu X-ray mkiingia nawascan
Kikishika kikolo kipitishe what a gwan
Ka hukufunzwa buda na mathako utalearn
Mbogi inachachisha makombora za Saddam
Oya oya eeh, oya oya aah
Uber nganya pandisia bodaboda eeh Muko local mi Busia bodaboda aah
Eti muko local mi Busia bodaboda eeh eeh eh
Si hapo ukinitoka nyokonyoko(Nyokonyoko)
Ju hapo ukining'ora ni mamboko(Ni mamboko)
Morio ukining'ora nyokonyoko(Nyokonyoko)
Juu hapa ukining'ora ni mangoto(Ni mangoto)
Nyokonyoko, Nyokonyoko wooah Nyokonyoko, Nyokonyoko weee Nyokonyoko, Nyokonyoko Ngai Nyokonyoko, Nyokonyoko weeh
Ng'ora ng'ora nikucheze kama thing'oi Ukiseswa ka umetokwa chungia nukia kinyoi
Nikulambi nikuchimbe mmh kama gefoi Msupa afunge duka aende anireplace na kitoy
Ahh juu ya kutu si ameshika mbiro
Juu ya rungu si atatoka mbio
We ndio jiko na unachezea diro
Una maroll aii, mi nachezea kilo
Ju we ni smarta nitakuchezea kio
Nina ofisi kuja nikuweke C.E.O
Uko fifty mi nakuwekea kioo Mwongozano, mtongozano mmmh Mkutano nichezee bano mmmh
Niko bale, niko ngano mmmh
Nina ngori ka Kogalo mmmh
Si hapo ukinitoka nyokonyoko(Nyokonyoko)
Ju hapo ukining'ora ni mamboko(Ni mamboko)
Morio ukining'ora nyokonyoko(Nyokonyoko)
Juu hapa ukining'ora ni mangoto(Ni mangoto)
Nyokonyoko, Nyokonyoko wooah Nyokonyoko, Nyokonyoko weee Nyokonyoko, Nyokonyoko Ngai Nyokonyoko, Nyokonyoko weeh
My girl ga, amegaragaza
Chora saba wacha mi nidare rasa
Shake legi seti tu kipasapasa
Mbogi ni ya Kangundo si ya kule gaza Super kamba kila aina ya gengetoni
We ni kuonanga town mpekedoni
Dj Lyta anawakata kipema peponi
Na bado si wanatu dare na maingwe thoni Aah,
Odi jina kubwa kama turi ya Vera Sidika walai huku nadai hela
Hii mboko si free ka za wale mafathela Manjoti hadi utii nilikuwa kamagera
Pedi wangu huenda mjei mpaka Jericho Na hizi ng'ango ni za wimbi za huko Mexico Na pale Dago ndo mi huendea mapetco
Kando ya Pango ndo nilifinyaga Rachel
lyrics added by James Keter (cool kid 1) Morio ukining'ora nyokonyoko(Nyokonyoko) Juu hapa ukining'ora ni mangoto(Ni mangoto) Nyokonyoko, Nyokonyoko wooah Nyokonyoko, Nyokonyoko weee Nyokonyoko, Nyokonyoko Ngai Nyokonyoko, Nyokonyoko weeh Ng'ora ng'ora nikucheze kama thing'oi Ukiseswa ka umetokwa chungia nukia kinyoi Nikulambi nikuchimbe mmh kama gefoi Msupa afunge duka aende anireplace na kitoy Ahh juu ya kutu si ameshika mbiro Juu ya rungu si atatoka mbio We ndio jiko na unachezea diro Una maroll aii, mi nachezea kilo Ju we ni smarta nitakuchezea kio Nina ofisi kuja nikuweke C.E.O Uko fifty mi nakuwekea kioo Mwongozano, mtongozano mmmh Mkutano nichezee bano mmmh Niko bale, niko ngano mmmh Nina ngori ka Kogalo mmmh
Read more at: *afrikalyrics.com/femi-one-nyokonyoko-lyricsps://afrikalyrics.com/femi-one-nyokonyoko-lyrics*afrikalyrics.com/femi-one-nyokonyoko-lyrics