![Sijalewa](https://source.boomplaymusic.com/group2/M07/68/3F/rBEeNF0B8YuABcE7AAC81TVMKIo411.jpg)
Sijalewa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Sijalewa - Nay Wa Mitego
...
Mr. LG
sijalewa sijalewa
sijalewa sijalewa
..........
nataka tusahau shida
waiter please lete pombe
tupombeke
watembezee na wana tuwe hai sio kinyonge
(tugembeke)
tusivunje glasi tumekuja na vikombee
(tugembeke)
na hunywi kunywa kweli usionjee
(tugembeke)
ila wengi wakilewa huwa zinashuka chini
kwangu mimi zinafanya najiamini
kamwili kadogo unajiona kama Tyson
hujui kucheza unajikuta Michael Jackson
bichwa panzi, bia mbili tayari ameshawaka
anawaza gesti kwenye vichaka
hakuna pombe za bure bwana lipa unachotaka
we kunywa tu watakubaka......
Sijalewa sijalewa
sijalewa sijalewa
sijalewa sijalewa
sijalewa sijalewa
pombe ni pombe stimu zinafanana
hatuchagui kiwanda tunachanganya
we ni ng'ombe nani aliyekudanganya
kunywa pombe bila kula unapunguza njaa
Ona akilewa anatapika
pombe hiyooo
anatoa siri za ndani
pombe hiyooo
kila wimbo anakatika
pombe hiyoooo
anakojoa hadharani
pombe hiyoooo
bichwa panzi, bia mbili tayari ameshawaka
anawaza gesti kwenye vichaka
hakuna pombe za bure bwana lipa unachotaka
we kunywa tuu watakubakaa
sijalewa sijalewa
sijalewa sijalewa
sijalewa sijalewa
sijalewa sijalewa
we jikute boss unamwaga mahela
akiwa kalewa anazingua masela
waiyooo!!!
kunyweni pombe tunywe pombe masela
kunyweni pombe masela masela
maselax2
ona akilewa anatapika
pombe hiyooo
anatoa siri za ndani
pombe hiyooo
kila wimbo anakatika
pombe hiyooo
anakojoa hadharani
pombe hiyoooo
Free Nation
Mixing Killer