![Liar ft. Tanasha Donna](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/11/0f975f5d9de54c499f0512d371ac6997.png)
Liar ft. Tanasha Donna Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Liar ft. Tanasha Donna - Masauti
...
Masaki kenya boy zero zero one
Sio siri nimeshoboka,nataka nibaki nawe/nahisi nimetani,nikupe vyakukukupagawisha.
Na nishakuona,unavyoninyemela/am not the ordinaly girl chungaaaaa.....
ZAngu hisia,umezikoroga/na macho hayanaga pazia/tannasha umenirogaaa we dada
Masautiiii,dont rush you can rock baby but cant touch na sikupiiiiii yaani mpaka nikuelewee
Masautiiii,dont rush you can rock baby but cant touch na sikupiiiiii yaani mpaka nikuelewee
Sio kwamba nakunyemelea,ni kamoyo kangu kamelegea eeh/mapenzi mazoea ukinyiima upendo nitachanganyikiwaa...
Youre a liar ohh no no no no me nakupenda kiukweli,you are a liar ooh no no no no me sio wale matapeli you are a liar ooh no no no no ukiniacha ntafeli.....you are a liar ooh no no no ooh nooooo.
If you see..... prove to me am give some maneno sitaki michezo nawe kuchezea moyooo.....
Moyo wangu ukipenda unapenda kweli niliyosema namaanisha
Am not see what you see me ni wako pekee wewe ndo kwanza unantishaaa
Siwezi kukutenda wala kukejeli ujanja wote kwangu umenishaa....i know you have been betraying but if you dont you marry me ''sitokudanganyaaaaa......
Masautiiii,dont rush you can rock baby but cant touch na sikupiiiiii moyooo
yaani mpaka nikuelewee
Sio kwamba nakunyemele eeh,ni kamoyo kangu kamelegea eeh/mapenzi mazoea usinyime upendo niaminiiiiiiii....
Am not a liar ooh no no no no sibaki fasihii
Am not a liar ooh no no no no am not easily in a chance
Am not a liar ooh no no no no am better i play where i have been am not a liar ooh no no no noooo
You are a liar liar liar liar oh no no
Am not a liar liar liar liar oh yes you are