Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2021

Lyrics

Weekend in da club baada ya mishe za mtaa

Nakula vitu vyangu mi na wanangu kadhaa

Toa monde weka monde ndo mambo tulioyazoea

Na ngoma kali za town happy day oo yeah

Ikapita pisi flani imenyooka balaa

Inanukia mauturi bamba kali anang'aa

Nikamvuta chemba nipige sound kachaa

Kwa ufundi wa Sam Goal si ndo mchumba akajaa

Nikabonga na wanangu kisha nikajikataa

Wakasema poa Mullah bhana ila take care

Nkasema zege hali lali nikasepa nae hom

Nikavuta nikachapa bila kutumia ndom

Asee utadhani kungwi maana mambo ten ten

Bhanaa mtoto fundi triple C Miquison

Anajituma ile mbaya nikapagawa na sound

Ndani ya usingizi mzito baada ya couple of round


Daah, Maisha yamebadilika na siku at any second unaweza feli ukiloose focus

Na kirahisi utapoteza kile ulichotengeneza for years, so skia kilichonitoke


Asubuhi natupa shuka no body is arround

Then i started feeling Strange something is wrong

Room vurugu kapekua kabatini kulikuwa na pesa nyingi kama 5 million

Akabeba Laptop iliokuwa juu ya meza

Akasafisha Varanda kila kitu akasebenza

Fasta nikarudi room ili nikapige simu

Kasepa nayo bhana huyu mtoto sumu

Kakomba mpaka nding hii ndo bongo Dar Es Salaam

Nikaanza vuja jasho puani natokwa Damu

When i Started thinking what am gona do

Maana ndinga sio yangu ya mwanangu Abuu

Presha Panda juu, then i fell down

Nimepigwa changa heavy mtoto wa down

Ile kuja kushtuka nipo hospitalini

Sina hili sina lile hali yangu taabani


Daah, hicho ndo kilichonitokea wazee

I spent alot of Money time and Energy

Ili niweze kurudisha kilichotokea lakini nikafeli pia

After few months nikaanza umwa ile kichizi

Baada ya check up nikagundulika nna HIV and Gonorrhea

So tusiendekeze tamaa za mwili bila ya kuhusisha akili

You better listen learn and watch your stepss

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234
          -You can log in via below methods-
          Reset password via e-mail
          -or-
          Reset password via e-mail
          Feedback on resetting password
          * It may take a longer time

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status