SAKA Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Mullah got bars got flow
Round hii nafnya more than before
Baraka za mama i aint go fall
Watoto wanantazama they need to grow
Ndo maana naamka kbla y jogoo
Kulala night kali na sio fofo foo
Mtaa umenikuza ya already knw
Ndo maana namuv kig cash zje more
I never get tired silah ya mafankio
Dnt mess with my money ntakuvunja koo
Ni hustla mafia hasa leta mizinguo
Ntazipata kesho km sio leo
Maskin natafuta nkipata hazilii mbwata hizi kalio
Maskini natafuta nikipata hazilii Mbwata hizi kalioo
Everyday na hustle mazee
Mpaka nishike Mullah money paper okay
Yeah, acha wapakaze I don't care
Chapa chapa lapa n I move oo yeah
Mi nasaka saka
Saka money Muller
Saka saka saka money paper
Saka saka
Saka money Muller
Saka saka saka ooh yeah
In the jungle like wolf ni balaa nkiwa booth
Gold bars naspit nafeel alright
Na fun base inagrow mnanifanya mfanye more
I will never loose a sight on my fight
Rap Game what i like am gona do it day n night
Focused i aint gon shake mpk nije kuwa the best
Harder nagoo napnga mipango
Nizishke doo nijenge mijengo
Watoto wagrow ni yangu malengo
Chuk mi noo sambaza upendo
On stage nasaka chakula
Nawapa chakula shibisha medula
Ikishiba medula siwez dorola
Nisipo dorola mangoma nachora
Yanafika mara ngara mtwara
Wanangu Mbagala mpk Ukara