Mariana ft. Zest Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
It feels so good to be in love
Hasa ukiwekeza moyo sehemu inayostahili
Ni raha stareheee
Haya twende nesa we haya twende nesa weee nesanesa
Haya twende nesa we taratibu bila pressure si twajidaii
Nisiwe mchoyo mbinafsi
Nashkuru mpenzi umenipa nafasi
Ma baby you so classic
Levels baby elegant
Nilizunguu nilizungusha ringi
Kama vibuti baby ulinipiga vingi
Nilikomaa vikavukika vigingi
Tuko pamoja zaidi ya Sea na Viking
Nafurahi unanipa changamotoo Motooo
Unanipa hasira za kuzisaka gooto
Wakati wa baridi baby unanipaga jooto
Kilichobaki mpenzi unizalie watotoo
Usije vunja mipango tuliopangaa
Itakuwa majangaa maana siwezi bila wewee
Usije vunja mipango tuliopangaa
Itakuwa majangaa maana siwezi bila wewee
Mariaaaa
Maria ooh Maria Mariana
Would you Marry me nakupenda sanaa
Maria ooh Maria Mariana
Would you Marry me nakupenda sanaa
Nyuma ukizungusha mi nadata mwenzako
Sitamani kukukosa everyday mi nipate raha zako
Mi sitaki mwingine My Girl My Girl My Girl You My Girl
Furaha yanguu yanguu yanguu yanguu young girl
Wenye chuki watakuja kupakaza
Lengo lao penzi kulichakaza
Am your Badman Shatta De Mullah nawe Mrs Mullah nakupenda mamaa
Kukutunza sioni hasara nazidi kusaka hela upendeze mamaa
Wambea usiwaskize waongoo
Waongoo waongoo haoo usiwaskizee
Bonge la pisi nyoko nakuita pini maa
Dress something nice we go out maa
Lets take a picture weka pozi za uchokozi
On the beach catch a breeze aaah
You the one in a million girl ama keep ya
Am Gentleman and i know how to treat ya
Getting in a bathtub while my songs play
I love you maa thats what i gotta say
Wambea twawatesa wazidi pata pressure
Na hizi rasharasha mvua kamili inakuja
Kwako nimeshanasa sijiwezi nimekwisha
Ukinicheat nakupigaa
Si utani unacheka nimeshachana mkeka
Maongezi yamekwisha nakubeba jumlaa kabisa
Usije vunja mipango tuliopangaa
Itakuwa majangaa maana siwezi bila wewee
Usije vunja mipango tuliopangaa
Itakuwa majangaa maana siwezi bila wewee
Mariaaaa
Maria ooh Maria Mariana
Would you Marry me nakupenda sanaa
Maria ooh Maria Mariana
Would you Marry me nakupenda sanaa