Gundu ft. Dark Pro Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
E
E
E
Equaliser
Oooh ooh ooow
Mullah
Mdogo mdogo moja mbili nakamata ndinga
Natimba karume kusaka mitumba
Wallet mfuko wa nyuma si nimeusunda
Mara nikaanza kubanwa huyo nkajichenga
Nakuja kustuka walet wameiramba
Alaf sina hata Mia mbona ntasaga narumba
Nikapoa kwanza kituoni nikitafakari
Pemben yangu akaja kuketi mtoto mzuri
Nikataka vuta simu ili nimuombe nambaa
Papasa sana Kumbe simu ameiramba
Nikasimama kaa simama kaa
Km dakika kadhaa akili ikapaa
Nakuja kutulia mtoto bhana amesepa
Nkabaki tu kusonya mbona leo hekaheka
Kusema kweli nimeisha
Nimeisha
Napagawa na maisha
Mmh mimi nina Gundu
Mmmh nina Gundu
Mmh mimi nina Gundu
Mmmh nina Gundu
Mmh mimi nina Gundu
Mmmh nina Gundu
Mmh mimi nina Guundu
Mmmh nina Gundu
Nikaanza kutembea kuelekea Mbagala
Ni siku mbaya msala juu ya msala
Kijasho kinamwagika mawazo kichwani
Bahati mbaya nikampush mmama kabeba beseni
Likaanguka mpk chini
Na kumwagika vilivyomo ndani
Akanitukana sana Kwa nn hauko makini
Kumpoza nikampa begi langu la mgongoni
Basi nkasepa nkiwa nimeinama chini
Mara uuuu Bodaboda miguuni
Nikaramba mchanga michubuko gotini
Mwamba akachimba nkashindwa mi nifanye nini
Nikaendelea na safari kufika mataa ya VETA
Kumbe kuna msafara na watu wamesimamishwa
Sina hili wala lile muhuni si nikakatisha
Napelekwa central kufunguliwa mashtaka
Kusema kweli nimeisha
Nimeisha
Napagawa na maisha
Mmh mimi nina Gundu
Mmmh nina Gundu
Mmh mimi nina Gundu
Mmmh nina Gundu
Mmh mimi nina Gundu
Mmmh nina Gundu
Mmh mimi nina Guundu
Mmmh nina Gundu