Story Ya Binti ft. Suegain Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Here is the story I wanna tell you all
It is the reason why today I stand tall
I was passing by the road I saw this girl
And two kids with her and they were looking awful
Walikuwa wamechoka kinoma their bodies were weak
It has been three days they had nothing to eat
Nikawananunulia Msosi kwanza wapate nguvu
Kisha wanipe mkasa Taratibu kwa utulivu
The pain inside of them I can't explain
Aliponianza nihadthia I couldnt stop cryng
Ngoja nivute kiti niwape mkasa kamili
Taratibu kwa nafasi kuifikisha hii fasihi
It was 2012 alimaliza la Saba
Akashindwa kuendelea sababu usawa ulikaba
Alipofika 18 years 2016
Alitokea tajiri mmoja wa kijij cha jirani
Akawaona Wazazi kw lengo binti kumposa
Walikubali sababu ya umaskini
Ndoa ikapita kwa vifijo na nderemo
Akaingia ndan ya ndoa kwa furaha hakuwa na neno
Baada ya Miaka mitatu mume wa binti akafariki
Alipata pigo maana alikuw mume na rafiki
Ili amuliwa familia iwe chini ya kaka wa marehemu
Sababu watoto ni wadg uangalizi ni muhimu
Yule kaka wa marehemu ni chapombe aliekithiri
Usiku mmoja karudi hom tungii chakali
Na kumlazimisha binti kumuungilia kimwli
Jamaa akapata nafasi ya kumtendea ukatili
Ilikuwa siku ngumu aliwaza nini afanye
Lakini alikumbuka alipoambiwa asiseme
Ukisema watoto wako ntawaua
Basi hakuwa na namna ikambidi kuvumilia
Alishtaki kwa kwa mola mungu baba atamlipia
Kadri siku zinavyozidi mauza uza yakaanza tokea
Mara asikie kelele watu wakicheka usiku
Mara asikie anaitwa akitoka hakuti mtu
Na mapaka yanalia usiku dizain watu
Haikupita muda mrefu watoto wakafariki
Kumbe walitolewa kafara na kaka wa marehemu
Akaona eee, hii sasa ngondo akaamua kurudi home
Skia story
Yeah
Let's not give up
Story
Story let's not give up
Muda hausimamii binti na changamoto
Baada ya miez mitatu akagundua ni mjamzito
Alioupata alupobakwa na shemejiee
Akaona ni mkosi balaa, ikabid tu aitoe
Lakni wapi bhana, toa toa na wewee
Miezi ilijongea ikabidi mimba aileee
Akajifungua salama akawaza kuhusu malezi
Akimfkiria mama, na madogo tegemezi
Basi binti akatimba town kuja kutafuta kazi
Mambo yakawa magumu but alikaza kizaz
Akaranda sana sio wa bunju sio wa buza
Dira haisomi nyakati mchana ye anaogoza giza
Haoni pakupapasa vitu vingi vimemuumiza
Stori ya maisha yake unaweza sema anaigiza
Nkasema basi usijali mungu ameleta mkombozi
Nyanyuka simama twende natena futa machozi
Nkawapangia chumba mitaa ya Salasala
Nkampa pesa kidg mtaji wa biashara
Mungu si Athumani genge ilizaa duka
Duka likazaa Duka nyota yake ikawaka
Sometimes life will hit with alot of suprises
Huenda mungu anakupima imani so don't compromise it
Tambua when moon set sun rises
Baada ya dhiki faraja
Tembo atishwi na frog noises
Mullah