Uniteteaye Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Uniteteaye - Eunice Njeri
...
Ni wewe Mungu uniteteaye, ni wewe giza waitetemesha,
Ni wewe Mungu uniteteaye, ni wewe giza waitetemeshae.
Ni wewe Mungu uniteteaye, ni wewe giza waitetemesha,
Ni wewe Mungu uniteteaye, ni wewe giza waitetemesha,
Unawafungua wote waliofungwa e, unawanyoshea mkono wnaozama e,
Wewe ni kimbilio kwa wote wanaokutafuta e,
Nimekukimbilia kwako ndio salama eh,
Wewe Mungu wa zama, vilevile tu kama jana,
Wewe Mungu wa zama, Yahwe haukati tamaa eh,
(Ni wewe Mungu uniteteaye, ni wewe giza waitetemesha) repeat
Mungu wa amani, Mungu wa mapendo,
Na uhai, wewe ndiwe ngao, Shalom, ABBA oh, Mungu wangu, wewe ushindi wangu,
Ni nani atatuhukumu, na Yesu umefufuka, mkono wa Mungu wa kuume, umeketi utuombee, (Repeat )
Ni wewe Mungu uniteteaye, ni wewe giza waitetemesha eh, (Repeat )
Umenitetea.....(Repeat)