Matunda ft. Lady Bee & Rebecca Soki Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2016
Lyrics
Matunda ft. Lady Bee & Rebecca Soki - Eunice Njeri
...
Sio kwangu ×6
Utukufu wote ukurudie wewe
Bwana nataka nikae kandokando ya maji
Kisima kisicho nyauka Bwana ninywe kwako
Nikiimba yesu utukufu ukurudie wewe
Nikisali Bwana maombi yangu yasikie
Majira yakija Yesu nizae matunda
Sikia ombi langu leo naomba
(Refrain)
Nizae matunda kwa majira yake
Nisinyauke, nitendalo nifanikiwe (That I may not wither, what I do to be successful)
Ulisema nikikaa ndani yako (You said when I abide in you)
Na neno lako ndani yangu (And Your word in me)
Chochote nitakacho kwako Baba, utanipa (Whatever I ask of you Lord, will be granted)
Ishara ya mi mfuasi wako, uzao wa matunda yangu
(The sign of my discipleship is my fruits)
Mzabibu wa kweli, nami ni matawi (You are the true vine, I am the branch)
Nikiwa ndani yako nawe ndani yangu nitazaa matunda
(When I am in you, and You in me, I shall bear fruits)
Nihubiri injili, ona nikuimbie (When I preach, let me praise you)
Nikikusemasema Yesu, mbegu yangu kwako (When I speak of You Jesus, my seen is in You)
(Refrain)
Mti usiozaa matunda hukatwa na kutupwa motoni
(A barren tree is cut down and burned)
Ee Yesu ninyunyuzie maji (Father irrigate me)
Nisinyauke niyazae matunda (That I may bear fruits and not wither)
Oh Yesu unijaze nguvu, lazima niyazae matunda
(Fill me with strength to bear fruit)
Na bota ba mbuma nayo ya molimo mosantu Yesu na ngai
(That I bear fruits from you Holy Spirit my Jesus)
(Refrain)
Bridge:
U mzabibu wa kweli (You are the true vine)
Umenichagua nizae matunda (You have chosen me to bear fruits)
Nisipozaa matunda, imani yangu ni bure (If I do not bear fruits then my faith is in vain)
Ni bure (It's in vain)
Refrain:
Nitendalo nifanikiwe (What I do let it be successful)
Lyrics by: Official Gloria Ke