Mambo Sawa (feat. Misjonssenter Maasai Mara) Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Mambo Sawa (feat. Misjonssenter Maasai Mara) - Eunice Njeri
...
Mambo sawa mambo sawasawa......mambo sawa
mungu yuko enzini tuko sawa......tuko sawa
mambo sawa mambo sawasawa......mambo sawa
mungu yuko enzini tuko sawa
sauti ya mungu kutoka kinywani mwake acheni watoto wadogo waje kwangu kwa, maana wote walio mfano aaah
sikia ufalme wa mbinguni ni wao.
umetukaribisha yesu......baraka ukatutendea unatuombea yesu...... bila kutusahau
Mambo sawa mambo sawasawa......mambo sawa
mungu yuko enzini tuko sawa......tuko sawa
mambo sawa mambo sawasawa......mambo sawa
mungu yuko enzini tuko sawa
Nimeumbwa mimi kwa mfano wako mungu, nakusifu yesu umeniumba kiajabu, mimi ni wako umenivika utukufu wako,
mimi ni wako nimo kiganjani mwako.
umetukaribisha yesu.....baraka ukatutendea unatuombea yesu..... bila kutusahau×2
Mambo sawa mambo sawasawa......mambo sawa
mungu yuko enzini tuko sawa......tuko sawa
mambo sawa mambo sawasawa......mambo sawa
mungu yuko enzini tuko sawa
mambo sawa ......sawa
tuko sawa......sawa
popleo sawa......sawa
kesho......sawa
mambo......sawa
mambo......sawa
Mambo sawa mambo sawasawa......mambo sawa
mungu yuko enzini tuko sawa......tuko sawa
mambo sawa mambo sawasawa......mambo sawa
mungu yuko enzini tuko sawa×2