
Nurulain Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Nurulain - Masauti
...
Kwako sioni skendo
Baby nipe upendoo
Sinitupe kandoo
O oo ooo
Upendo wako umenijaa mii
Mpaka wengine siwaonii
Baby you drive me crazyy
Umeniziba zangu mboni
Nimekuzoweaaa
Kila time nataka niwe nawee
Girl you are my other half
You make me complete and i always say
You are my fantacy
The way you wear makeup
Is cute i see
Una urembo wa tausi
Mwendo taratibu yani bila kasi (x2)
Mmmmm
You are the one i wanna marry
Uwe mpenzi wa halali
Baby you are my nurulain
Na nafurai upo nami (x2)
Aee ah! Hae aae
Aee ah! aee aaae
(I wanna marry you)
(.............................)
(.............................)
Tulipotoka ni mbali
Basi penzi tulifadhili
Moyo wangu umehifadhi hisia zako
(Baby)
And i will never make you cry
(Baby)
Lega me ni wako
(Baby)
You are my fantacy
The way you wear makeup
Is cute i see
Una urembo wa tausi
Mwendo taratibu yani bila kasi (x2)
You are the one i wanna marry
Uwe mpenzi wa halali
Baby you are my nurulain
Na nafurai upo nami (x2)
Aee ah! Hae aae
Aee ah! aee aaae
(I wanna marry you)
Kwako sioni skendoouuuu
Baby nipe upendoouuuu
Sinitupe kandooo
Baby yeah yeah yeah yeaaaaaaaah
Ooooooo uuuuu
You are the one i wanna marry
Uwe mpenzi wa halali
Baby you are my nurulain
Na nafurai upo nami (x2)
Aee ah! Hae aae
Aee ah! aee aaae
(I wanna marry you)