
Sewersydaa X Dyana cods(Riswa) Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Sewersydaa X Dyana cods(Riswa) - Wakadinali
...
Alex bank
skrrr...skkk..skrrr
aaah Man a driller yooh
(Nairobi×3)to the world
Journey ni refu,tukifika tumededi
Kwa hii industry yetu ni kaa kila mtu amekuwa seti,ganji kwa bedroom innit,
sisi hatuko kwa benki,qtc alihit,
Amanda ocha kumedi yooh!!
~chorus
(riswa! riswa! haaa, ikifika kwa bed nyambisa,kwanza piga kimbichwa haaa,
ukitaka ikus itisha)×2
sii huchoma mbichwa na picha,zikishika si hukunywa mamchicha,said hubonda kila kitu inapita operation kumaliza