Sewersydaa (Gpin) Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Sewersydaa (Gpin) - Wakadinali
...
Lyrics
Niko na wasee wamejipin vitu refu
Kutoka hip mpaka knee
Galdem ako stiff anadai kasee
Tu aitingishe itii
Hapo kwa garden nasuka Eve
Kumbe anapenda sauti ya hiss
Si tuchill
Behind hio curtain si venye inaseem to be
Niko na wasee wamejipin vitu refu
Kutoka hip mpaka knee
Galdem ako stiff anadai kasee
Tu aitingishe itii
Hapo kwa garden nasuka Eve
Kumbe anapenda sauti ya hiss
Si tuchill
Behind hio curtain si venye inaseem to be
Ulifinywa ukasnitch nigga si tulidhani we ni G
Midday tuskii pale waitii nimekuwa nikigather streams
Si tunamwagika nyi mnadrip, mkitrip tunawaacha mclean
Around saa tisa na zimelipuka suicider ako Eastleigh
Msicut trees kama hauplan kuplant shit
Excuse me miss my name is Slim na napenda hio slit
Najua ni 6 lakini siwezi mind kuingia nawe hizo streets
Still tuingie D tugotee wazing tupewe G na Jing
Usilete feelings bruh si hudeal tu na logic
Nina bitch ye hupiga mbraa so ideal for robbing
Utapiniwa kwa hio wall ukimblein short ka Sony
Nairobi tunadrill na fuck hao watu hawaoni
Rong G tunafyatuaa tukifuatwa na magagula
Monski drip instead ukimpata mshow namtafta
Naroll viheavy niliuza Mazda sai ni tractor
Niliuza glock nikawashikia short gun
Niko na wasee wamejipin vitu refu
Kutoka hip mpaka knee
Galdem ako stiff anadai kasee
Tu aitingishe itii
Hapo kwa garden nasuka Eve
Kumbe anapenda sauti ya hiss
Si tuchill
Behind hio curtain si venye inaseem to be
Niko na wasee wamejipin vitu refu
Kutoka hip mpaka knee
Galdem ako stiff anadai kasee
Tu aitingishe itii
Hapo kwa garden nasuka Eve
Kumbe anapenda sauti ya hiss
Si tuchill
Behind hio curtain si venye inaseem to be
Wangapi wako on, hio ni urongo
Na siwezi perform yoh watoe jongo
Front ya Malboro bro na kumbe nauzanga koro
Mpatie mkono incase mnono adandie stoko
Mkoro ako worried naskia hadai upatane na Saigon
Bygon si bygon kwanza ka ulicock ia Kanairo
Una mabeshte wangapi wako worth kudie for
Nishai pigwa wembe nikadrop kila kitu Kiamaiko
Mpee Flying Horse ukidai kumrusha
Sai ni 4 bado mbao tuanze kuvuva (4 na Kambao)
Tuko Singapore vile macho tumeshusha
Si hung'ara mtumba swali ni mojajiulize mbona nawakunywa
Niko na wasee wamejipin vitu refu
Kutoka hip mpaka knee
Galdem ako stiff anadai kasee
Tu aitingishe itii
Hapo kwa garden nasuka Eve
Kumbe anapenda sauti ya hiss
Si tuchill
Behind hio curtain si venye inaseem to be
Niko na wasee wamejipin vitu refu
Kutoka hip mpaka knee
Galdem ako stiff anadai kasee
Tu aitingishe itii
Hapo kwa garden nasuka Eve
Kumbe anapenda sauti ya hiss
Si tuchill
Behind hio curtain si venye inaseem to be