Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2021

Lyrics

Si unajua kuenda class ni risky

Especially kama umechapanga glass ya whiskey

Jicho nyanya nina drugs kwa system

Na vitu napendanga ni mabras na g string

Wanacompare Abash Nyashinski

Ati wako na containers za mabars na siskii

Chavu buda dunga gloves in this shit

Navovuta gunga tobacco ka ras wa Eastleigh

Rough ragged and raw, kaf nare na draw

Slap bare kwa choo, jisearch ngware kwa floor

Rastaman sibagui wana juju ka mafans wa

Willy Paul, sutambui Bahati aah

Thika Thika chachisha mbaka hapa East

Navyoshika liquor wika bambika chapa kwa feast

Mashawrie, matire mamori kinare

Mapilsner, mabitch na marizler na Risper

Na scene ya kanisha, scene ya kusinzia kanisa

Scene za kuchinjia kwa nissan

Chachisha, chachisha kabisa chachisha kabisa

Chachisha, chachisha kabisa chachisha kabisa

Party in the 254, the party that don't stop

So party cannot stop, shouldn't make your

Ass drop, taunt up crazy na vitu nimepop

Sai nadai more tei, more vela more gock

Si popingi pedos

Nabuyia dem chipo, alafu namchipo Gallitos

Akianza ufala cheza chini napokua lidos

Flow ni sick so mtaseek help, ongeza

Mambitho

Six hundred bands nikipull up kwa show

Nadondoka mraia ka six soo

Pewa kenye unapewa mikono in the air

Nyemelea dem unaware, shash tuki enshuffle ikikaa kwa underwear

Nadai kukata maji design nimecome na kisu kwa bar

Case constant ka fisi ina njaa

Step up in the club nacheki poster Imeandikwa, " no chewing miraa"

Basi ntachew blackout

I came to pull my straps out

Mashawrie, matire mamori kinare

Mapilsner, mabitch na marizler na Risper

Na scene ya kanisha, scene ya kusinzia kanisa, scene za kuchinjia kwa nissan

Chachisha, chachisha kabisa chachisha kabisa

Chachisha, chachisha kabisa chachisha kabisa

Huwanga venyenge najulikana mi ni

Mbadder mbaka Mungu amenigeba tu vihana

Kilichangatupa vungu kenegia bugilala dilu

Hamaseka njugu vide ju jaba mi huchana

Few of the load huonekana before

Upatwe, ukipatwa uhaifanya default

Hau devote

Let us be honest Kitabu kujudge na cover ni time waste

Naweza recover adi time waste

Time is not on my side, move a fifty watches

Breathing side haijui kuwanga na greedy

Coaches

Mkihide itabidi niwakishe hizi torches

Uko wapi goddamnit you critic conscience

Shika tei yangu slowly ka si jaba kwa lips

Zishike design ya makasi na nasi

Tunaweza ikata ka idare ya jiz

Tu combine ni ka kuuza makaa supermarket

World rapper shikisha majani kizani

Industry tukiachia madummy ni epidemic

Umizwa adi ndani, tuliza kilami

Aim to the sky na colonize planets

Chachisha, chachisha kabisa

FB mbaka twitter ukinifata utapata nikichoma kinduku kwa picha

Ni marasta mavipara, kuna kinduku kwa kichwa

Nina rai ishara, nishanga mi jisteam tu ka shisha

Ka we ni sugu chachisha

Mashawrie, matire mamori kinare

Mapilsner, mabitch na marizler na Risper

Na scene ya kanisha, scene ya kusinzia kanisa, scene za kuchinjia kwa nissan

Chachisha, chachisha kabisa chachisha kabisa

Chachisha, chachisha kabisa chachisha kabisa

Mashawrie, matire mamori kinare

Mapilsner, mabitch na marizler na Risper

Na scene ya kanisha, scene ya kusinzia kanisa, scene za kuchinjia kwa nissan

Chachisha, chachisha kabisa chachisha kabisa

Chachisha, chachisha kabisa chachisha kabisa

Big beats beats beats Afriq

More Lyrics from Wakadinali Songs

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234
          -You can log in via below methods-
          Reset password via e-mail
          -or-
          Reset password via e-mail
          If you have any questions, please feedback on Boomplay App or send an email to [email protected].

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status