
Cha Kutumaini Sina Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Cha Kutumaini Sina - Walter Chilambo
...
cha kutumaini sina, ila damu yake
bwana, sina wema Wa kutosha,
dhambi zangu kuziosha,
cha kutumaini sina, Ila damu yake
bwana, sina wema Wa kutosha
dhambi zangu kuziosha,
( kwake yesu).
kwake yesuuu! nasimama ndiye
mwamba ni salama, ndiye
mwamba ni salama
kwake yesu nasimama, ndiye
mwamba ni salama, ndiye
mwamba ni salam,