![Love On Fire (Bonus Track)](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/06/dc3a8028ec5746aaa5731fe05f281995_464_464.jpg)
Love On Fire (Bonus Track) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Love On Fire (Bonus Track) - Walter Chilambo
...
Walter Chilambo_ Love On Fire
[']
Hivi nikupendaje, hata mwenyewe sijielewi;
Ninakupendaje,
(Namna hii Bwana);
Hivi umenipokeaje, maana nasikia raha sana;
Umenipokeaje,
(Namna hii Bwana);
I deserve nothing (nothing),
Lord you give me everything,
You never disappoint me,
Oh lord in any way;
Yani hata mi nikianguka (Bado),
Mkono wangu unanishika (Bado),
Kwenye mitego ya mwovu Bwana (Bado),
Baba yangu unanivusha (Bado);
Yani hata nikianguka (Bado),
Mkono wangu unanishika (Bado),
Kwenye mitego ya mwovu Bwana (Bado),
Baba yangu unanivusha (Bado)...
Tarararirah aaaah(Jesus you're my desire),
Tarararirah aaaah(Your love is on fire),
Tarararirah aaaah(What did I do,did I do),
Tarararirah aaaah(Nistahili upendo wako weeh).
[']
Nami nitatii Amri zako Daddy,
Nifanye safi mwili na roho Daddy;
Usiniache kabisa (Usiniache kabisa),
Maana kwa wengine mi ni takataka,
Kwako mi Dhahabu,
Maana umeniosha ,ninawakawakaaa;
Yani hata mi nikianguka (Bado),
Mkono wangu unanishika (Bado),
Kwenye mitego ya mwovu Bwana (Bado),
Baba yangu unanivusha (Bado),
Yani hata nikianguka (Bado),
Mkono wangu unanishika (Bado),
Kwenye mitego ya mwovu Bwana (Bado),
Baba yangu unanivusha (Bado);
Tarararirah aaaah (Jesus you're my desire),
Tarararirah aaaah (Your love is on fire),
Tarararirah aaaah (What did I do did I do),
Tarararirah aaaah (Nistahili upendo wako weeh):
Ninaringa unanipenda (ah)
Unanilinda (ah)
Wanitunza (ah)
Eh Bwana wangu (ah)
Nzambe na ngai (ah)
Shammah (ah)
El shaddai (ah)
Oooh (ah)
Tarararirah aaaah (Jesus you're my desire, yeah)
Tarararirah aaaah(Your love is on fire)
Tarararirah aaaah(What did I do, did I do)
Tarararirah aaaah(Yeah,mpaka umenipenda miimiiii)
[']