![Nitakase](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/06/dc3a8028ec5746aaa5731fe05f281995_464_464.jpg)
Nitakase Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Nitakase - Walter Chilambo
...
kunawakati
tunapita mambo manguuu
nakujiona kwamba tunayaweza wenyeweee
kunawaka yakitulemeya twalaumu nakukufuru Mungu
kumbe nisisi wenyeweee
kunawakati akili namawazo yetu
tunaku kusahau wewe tuna vipa kipawo mbeleee