
Pima Poa Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Pima Poa - Wakadinali
...
(huu msee anataka kurap ivi)
yo wadup wadup warriris
66 man wakadinali again au sio
mafans bado mpo tupo
hatujali nini nyowesa nyoro kumamaye
ausio
pima poa,hii chingri naineed jo kuimochoa
pima poa hadi kimonyoski jo ya kutoa
pima poa ukiuza mboioi bro umesora
we pima poa,hii price ieke chini bro amengora ×2
tuma kakitu hadi ya kutoa acha izo
msee ashainiondolea (meeh) goat kutoa hizo matatizo
John saga na mogoka,Bob saba ndani ya boxer
my manzi ni ni wabogsha
mi na magzin kwa taxi naororia
chipo ni ya umo lakini nawamakia nuclear programme
nyi ni waoga na Munga ndo mganga anawashindanga kuroga
maji ya kuoga siku hizi nawauzia thao moja
mi ni talk sweeter, Munga Mimi ni volatile
....alone ka na wamama,wewe ni pedophile
lighter jo ni kifaru chaji akisharoch inferno
kisha dochni valot, Leo duvai ni ngano
chingri Leo ni mano, we ni diva we ni bro wa Chimano
hio leave alone, hio ni mfano
pia kuna bidhaa zenye ni mchina ziti
zote huwanga round but usicompare big G na minji
usiwaicompare dj shiti na michi
pima poa, hii chingri naneed jo kuimochoa
pima poa hadi kimonyoski jo ya kutoa
pima poa, ukiuza mboioi bro umesora
we pima poa,hio price ieke chini bro amengora ×2
after scene questioning tulipelekwa precint
hata beast anajua happenings ni huko mall ya chini
work hio mwili ndo upate meaning mi natumia akili
watu we east wing, lazma ndenga really?
huku down watu wamejam hadi wamekua trigger happy
guza madam vizuri kwa club ujipate hauna ganji
shimo flani ndo inafanya mpaka gangsta hulali
budamejam mabuti mama amegeuzwa victim waragi
ana red ID, Wanjigi anaezaempty magazine
saile ntasafiri nimeacha mbegu enough hii city
venye mdem hutoa itatake miracle kupata mkidi
fika poa naskia we hukua high tu na flight ya Swedish
si ndo maboyz wahot ingizwa baridi ni ka uko kwa pickup
sky tulipita ona si ni mastars kwa guza
tunapenda Jacko kubwa,zile zinaezatuficha
supu surwa after mbichwa jo zilishika
pima poa, hii chingri naneed jo kuimochoa
pima poa hadi kimonyoski jo ya kutoa
pima poa ukiuza mboioi bro umesora
we pima poa hio price ieke chini bro amengora