![Go Baba](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/04/6bd51c2f5bd14d6f8d5402426b22d5ac.jpg)
Go Baba Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Go Baba - Nay Wa Mitego
...
Mr ney
go baba official lyrcs
go baba go baba go baba go baba x2
...............................................
Mishe mama ndo imenifanya nipo juu mpaka leo,usiponsikia redioi kwenye Banda la video
bodavoda Bajaj kitaan me ndo rais wao
na leo nawalaza nje si ninafunguo zao
rais kamanda kipenz Cha wanna madem
hawaaminiki c unaona wamesaliti chama
au mnasemaje masela (GO BABA) tuuze nchi tugawane mahela (NDIO BABA)
kwenye show zao wao kiingilio so no bure
kwenye show zangu Mimi kiingilio kilekile
ok sijawah kuogopa(NDIO) japo napingwa
nasema sihami nchi na Wala siachi kuimba
kutana na kichaa nishakata rungu
round hi mpaka mashoga mtajifungua kwa uchungu
ni baba yaga rais wa masela kitaan tumeshibana Kama mlevi na bar GOOOH!
Go baba go baba go baba x4
mhmhmh Nona Kama sauti yangu haiko fresh eeembu nipe maji nipooze Koo kidogo af tuone itaasound au sio twendee
Gooo Weee x8
Anipapo bhimbimbi e bwana phapala angan, nataka niwaoneshe me na wao hatuendani
hatupigi mke ban tunaoiga pesa
akichepuka nawe chepuka ya Nini ufe kwa pressure.
hii ni bongo bana ujinga ndo unapewa nafasi, shule haiwezi treand kwekosa madawati
Au mnasemaje masela (GO BABA)
tuuze nchi tugawane mahela (NDIOBABA )
Go baba go baba go baba X8
Wazee Gooo Weee x8
baba yaga is in the building Mr 966# baby, 0bd mabula I see you bro(instrumental)
am the trueee Name(truee name)
mtaa wa faaa mtaa wa fire I see u son
(Instrumental)
WRITTEN BY REEZONE DA PASCO GABY
DIRECTED BY HANSCANA
XXXXXXXX END XXXXXXXX