![Kwanini](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/07/8b2dcd6c9ab24535b44ce703171be81d.jpg)
Kwanini Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2012
Lyrics
Kwanini - Diamond Platnumz
...
usinione nalia
moyoni naumia
kila siku
maugonvi
unanukia mabia
inamana unataka useme
moyo wangu hautambui
thamani ya mapenzi
ndo imegeuka kuwa maadui
nimekuimbia nyimbo bado
nikakupa moyo bado
nikakupa life
na true love
ila baby bado
nimekuimbia nyimbo bado
nikakupa moyo bado
nakupa love na true love ila baby bado
kwanini nikose raha
kisa kupendwa nawe x4
--------------
nishachoshwa na haya mapenzi
kisa me mara yako mwenzi
mara leo limekwisha hili
keshokutwa tena gafla limezuka lengine
nimechoswa na haya mapenzi
kisa me mara yako mwenzi
leo limekwisha hili kesho lengine
I just no naumia umia umia umia umieeeh eeeeh!