Natamani. Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2012
Lyrics
Natamani. - Diamond Platnumz
...
chorus
mie kweli natamani
siku iwezekane
nifungue macho nikuonaaa
Tusivurugane
unanipenda sana
wakati siwezi kuona .
kweli Natamani
siku iwezekane
nifungue macho nikuonaaa
Tusivurugane
unanipenda Sana
wakati siwezi kuona
verse 1
Mara nyingi pekee yangu nawaza
naomba Mungu nisijekukuaaza
ningija kupa maumivu na nafsi kuichoma
chei
Tena usiku mzima nalia darling
napiga goti kwa Mola na sali
Azidi tupa baraka tusije kosa dona
eei
Mi macho yangu,imejaliwa moli lakini nuru sina
Ningekuwa na uwezo ningefanya kazi nikuhudumie
eei
Upofu wangu ni kikubwa kikwazo mwenzako raha Dina
Lakina unanijali mbali na mengi unanipea Sana'a
chorus
Kweli natamani
siku iwezekane
nifungue macho kukuona
tusivurugane
unanipenda Sana
wakati siwezi kukuona
kweli natamani
siku iwezekane
nifungue macho kukuona
tusivurugane
unanipenda Sana
wakati siwezi kukuona
Verse 2
Naskianga kuna rangi ya upendo
ila upendo kuna pozi za Wendo
utanashati udambudambu na urembo
sinaaaaaa
mi natamani ni tazame
uridhi na mbingu ni lalame
nipande mawingu na niiname
ooh uenda nikaoona
eeei eii
Mi macho yangu imejaliwa moli lakini nuru sina
ningekuwa na uwezo ningefanya kazi nikuhudumie
eei
Upofu wangu ndio kikubwa kikwazo mwenzako raha sina
lakini unanijali mbali na mengi unanipea Sana'a
Chorus
kweli natamani
(ee natamani)
siku iwezekane
( iiiwezekane)
nifungue macho kukuona
(iiiiiiii)
tusivurugane
(kisa mabo gani)
unanipenda Sana
( unanipenda sana)
wakati siwezi kukuona
(iiiiiii eee)
kweli natamani
(natamani mama)
siku iwezekane
( iiiwezekane)
nifungue macho kukuona
(eee nikuone)
tusivurugane
(eeeee)
unanipenda Sana
(ooooo)
wakati siwezi kukuona
(eeeh eee)
nikuone mama
(nikuone mama)
niweze tazama
(niweze tazama)
eee. eee
if I say
eeeee eeeee
eeeee eeeee
eeeee eeeee
i love you nakupenda
tena
eeeee eeeee
eeeee eeeee
eeeee eeeee
I love you nakupenda
say
eeeee eeeee
eeeee eeeee
eeeee eeeee
I love you nakupendaaa
Te Te Te
BhadJoker