Nimpende Nani Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2012
Lyrics
Nimpende Nani - Diamond Platnumz
...
{Chorus}
Nimpende nani, nimpendeee eeh
nimpende nani, nimpende aaah ײ
Verse.1:
Tah Nilikuaga na mpenzi! akanizinguaa,
Hivyo natakaa muenzi wa haya maradhi nauguaaaa,
Isije siku miezi na! akanisumbuaa,
Ikawa tena kitenzi, mzigo kuutuaaa,
Naogopa sana vijana wa sasa kwenye mapenzi wasije wakanitenda,
Nikazama na hubaya mapenz ya kweli! wakaniacha wakaenda,
Oh si unasema wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenz ya kweli ndo balaa,
Wengine wajanja watoto wa mjini wamejawa utapeli tamaa,
Wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenz ya kweli ndo balaah!,
Wengine wajanja watoto wa mjini nimpende nanii,
{Chorus}
Nimpende nani, nimpendeee eeh
nimpende nani, nimpende aaah ײ
Verse 2:
Yasiwe kama ya Wema Sepetu, Kila siku magazeti,
Hajui nidhamu na Mila ya kwetu, mjuzi kupetipeti,
Simtaki ka Uwoya nimteme ana hasira, mpole kama joketi,
Ila sauti kama Wema akiwa analiaa, kicheko kama Cha fetty.
Naogopa sana vijana wa sasa kwenye mapenzi wasije wakanitenda,
Nikazama na hubaya mapenz ya kweli! wakaniacha wakaenda,
Oh si unasema wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenz ya kweli ndo balaa,
Wengine wajanja watoto wa mjini wamejawa utapeli tamaa,
Wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenz ya kweli ndo balaah!,
Wengine wajanja watoto wa mjini nimpende nanii,
Nimpende nani, nimpendeee eeh
nimpende nani, nimpende aaah...
Nimpende nani, nimpendeee eeh
nimpende nani, nimpende aaah...