
Ongeza Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Ongeza - Diamond Platnumz
...
[1st Verse]
Mmmh mmmh mmmmh
Ayolaizer.....
Me kwako sikuingia miguu, mikono hadi kichwa kiufupi maziima
Nikiamini wa kufa kuzikana
Yaani hoi sio nafuu mahututi kabisa hata mashaka siina
Kiaminiii... utatengwa na Maulana
Mvumilivu hula mbivu, nimengoja mpaka zikaoza
Naambulia maumivu, ingali sina wa kunipoza
Sijui yangu staamilivu, kunyenyekea kwa niponza
Napambania utulivu, mwenzangu chuki unaipoza
[Bridge]
Sikukufuta tu machozi
Ulipolia, nililia na wewe
Sa mbona ulinipa majonzi
Yani stress, mapombe nilewe
We ndo wangu Yesu mkombozi
Sa mbona Petro, unaniacha mwenyeewe
Nikose usingizi na njozi
Ndo ufurahi, okay sawa
si unataka nitukanwee
[Chorus]
Ongezaa, ongezaa badoo (nidharirikre)
Ongezaa, ongezaa badoo (nikose pa kuificha sura)
Ongezaa, Ongezaa badoo (marafiki waniicheeke...waning'ongee habaa)
Ongezaa, ongezaa badoo
[2nd Verse]
Mmmh kisichokuua hukukomazaa
eti kiuaskari huo msemo mi nakataa
Maana jua linapoangaza
Ndo sina afadhali
Mi kwangu ni mabalaa
Oooh, najitahidi kumsinga mwali
ila somo analikataa
Oooh, penzi letu si la kibatari
anayamwaga mafuta ya taa
Kutwa ni vurugu ndani
purukushani hapakaliki
Roho inaniuma yaani
Kwanini sa tunagombana sweetie
Oooh, jema gani nambie, labda nitende kipii?
Hata pa kucheka Honey
Eti utani unapanick
Naelewaa, riziki mafungu saba na la kwangu sita
Naelewaa, sikutoshi labda, kukuridhisha
[Bridge]
Sikukufuta tu machozi
Uilipolia, nililia na wewe
Sa mbona ulinipa majonzi
Yani stress, mapombe nilewe
We ndo wangu Yesu mkombozi
Sa mbona Petro, unaniacha mwenyeewe
Nikose usingizi na njozi
Ndo ufurahi, okay sawa
si unataka nitukanwee
[Chorus]
Ongezaa, ongezaa badoo (nidharirikre)
Ongezaa, ongezaa badoo (nikose pa kuificha sura)
Ongezaa, Ongezaa badoo (ndugu, jamaa wanicheke...waning'ongee habaa)
Ongezaa, ongezaa badoo (nikose pa kuificha sura.......Aaah, waning'onge habaa