Kizaizai Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2012
Lyrics
Kizaizai - Diamond Platnumz
...
Yaananza kama safari
Twende fulani ukaone
Kumbe yana nguvu ni hatari
Ukishanasa ndio uponi eeh
Yaananza kama safari
Twende fulani ukaone
Kumbe yana nguvu ni hatari
Ukishanasa ndio uponi eeh
Mungu aliumba dunia na maajabu yake
Ya mwenzako sikia omba yasikupate
Eiih! Mungu aliumba dunia na maajabu yake eeh
Ya mwenzako sikia ila yasikupate
Kizaizai
Nyie mapenzi yanauma
Kizaizai
Yanaumiza
Oh kizunguzungu
Kizaizai
Jama mapenzi mabaya
Kizaizai
Waweza gombana na ndugu
Kizaizai
Rafiki akawa mbaya
Kizaizai
Kazi ukaona chugu
Nyie mapenzi karaha
Eh! Sumere wa
Grante grante
Mmmh! Yanayima furaha
Yanakosasha raha
Yanayima furaha
Yanakosasha raha
Tena usiombe kupenda
Ulie mpenda ajue
Tena usiombe kupende
Ulie mpenda ajue
Amani utakosa, karaha jamani
Dunia chungu kufa utatamani
Eiih! Mungu aliumba dunia na maajabu yake
Ya mwenzako sikia omba yasikupate
Eiih! Mungu aliumba dunia na maajabu yake eeh
Ya mwenzako sikia ila yasikupate
Kizaizai
Nyie mapenzi yanauma
Kizaizai
Yanaumiza
Oh kizunguzungu
Kizaizai
Jama mapenzi mabaya
Kizaizai
Waweza gombana na ndugu
Kizaizai
Rafiki akawa mbaya
Kizaizai
Kazi ukaona chugu
Nyie mapenzi karaha
Kizaizai
Baba na mama watake
Kizaizai
Chakula tamuni sumu
Kizaizai
Mashoga sasa wanafiki
Kizaizai
Kulala nanyi ni ngumu
Kizaizai
Eiih! Yanauma
Kizazai
Tena yanauma sana
Kizaizai
Yanauma
Kizaizai
Tena yanauma sana
Kizaizai
Ooh yanauma sana
Ayo! Haa!
And this is hit from Tanzania
Diamond Platnumz baby
In See Records
Holla
Wewe
Kizaizai