Fiti Sana Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2019
Lyrics
Fiti Sana - Moji Shortbabaa
...
Moji ShortBabaa - Fiti Sana
Ooh ooh yeah ye ye ye
Kwa Yesu ni kufiti sana
Ooh ooh yeah ye ye ye
Kwa Yesu ni kufiti sana
Sana na na na na
Sana na na na na
Sana na na na na
Sana na na na na
Namsifu na kayamba ama rakatu
Niwe juu ya nduthi ama matatu
Yesu namba moja sio namba two Nimesoma bibilia sio kanga tu
Eeh kwake sina noma sina wololo
Siko peke yangu siko sololo
Nipate kanisani si kwa ngololo
Na siingizi baridi siko wololo
Sitafuti tena,
Za shetani sitafuni nimetema
Nimezaliwa tena,
Mimi na Yesu hadi nilazwe pema
Ooh ooh yeah ye ye ye
Kwa Yesu ni kufiti sana
Ooh ooh yeah ye ye ye
Kwa Yesu ni kufiti sana
Sana na na na na
Sana na na na na
Sana na na na na
Sana na na na na
Yes I am, amenishow Agape Agape
eeh eeh
Yes I am, hahesabu mara ngapi eeh
eeh
Niko kwake, niko kwake sipigwi na
ukame eeh eeh
Niko kwake, niko kwake watangoja
ndo nihame eeh eeh
Nawapeleka na hii, kwa Yesu
namaintain kama flight
Nawapeleka na hii, kwa Yesu
namaintain kama flight
Nasitafuti tena, za shetani sitafuni
nimetema
Nimezaliwa tena, nina Yesu hadi
nilazwe pema
Ooh ooh yeah ye ye ye
Kwa Yesu ni kufiti sana
Ooh ooh yeah ye ye ye
Kwa Yesu ni kufiti sana
Sana na na na na
Sana na na na na
Sana na na na na
Sana na na na na
Fiti sana fiti sana
Sana na na na na
Fiti sana fiti sana
Sana na na na na
Oya nikufiti, ni kufiti kufiti
Sana na na na na
Oya nikufiti, ni kufiti kufiti
Sana na na na na
Fiti sana, fiti sanaa
Sana na na na na
Fiti sana, fiti sanaa
Sana na na na na ti-sana-lyrics
Oya nikufiti, kufiti kufiti
Sana na na na na
Oya nikufiti, kufiti kufiti
Sana na na na na
Ooh ooh yeah ye ye ye
Kwa Yesu ni kufiti sana
Ooh ooh yeah ye ye ye
Kwa Yesu ni kufiti sana
Sana na na na na
Sana na na na na
Sana na na na na
Sana na na na na