
Utanitoa Roho Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2019
Lyrics
Utanitoa Roho - Darassa
...
Darassa~utanitoa roho
ubber
Ooh mwana mama ooh
ooh mwana mama ooh
Moyo ukishaga simama kidedea
Utajikuta unapiga na kujichezea
Mtu ukipenda you don't care
Hujui unakokwenda you don't scare Unanifumbua macho kama sio dili
Na bado kukikucha kwako niko willing
Kufanya vitu kama sinaga akili
Ni sawa mtu ale mi nilipe bill
Nacheka nje ndani uko fire Mapenzi ya msala yanaumizaga vibaya
Pressure inashuka kupanda Kuwaza kuwanda kwa giza na mwanga
unamacho lakini hayakuonyeshi
Unacheka na vitu havikuchekeshi
Nimesha poteza me sina confidence
Unasema unapendwa bila evidence
Utantoa roho
wee utaniua
utantoa roho
Utantoa roho (baby mwana mama ooh) wee utaniua
Utantoa roho (baby mwana mama ooh
baby mwana mama
ooh Baby mwana mama ooh)
Ah refa akishaita mpira kati ndio basi Na hakuna cha ku discuss
Kuna wakati bora kuisikiliza nafsi
Maana pesa makaratasi
In fact samaki hana reverse
Maajabu ya dunia ulionaga wapi
Kinyonga kakimbia mbio za farasi
Maneno yakashutigi kama risasi
Twanga na kupepeta chekecha Haisaidii kama vile double deka
Unajikuta kulia kucheka Unacheza tuu ma breka mbuzi kala mkeka
unamacho lakini hayakuonyesha
Unacheka na vitu havikuchekeshi
Nimesha poteza me sina confidence
Unasema unapendwa bila evidence
unamacho lakini hayakuonyesha
Unacheka na vitu havikuchekeshi
Nimesha poteza me sina confidence
Unasema unapendwa bila evidence Utantoa roho
wee utaniua
utantoa roho
Utantoa roho (baby mwana mama ooh) wee utaniua
Utantoa roho (baby mwana mama ooh
baby mwana mama ooh Baby)