Proud of You ft Alikiba Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
Proud of You ft Alikiba - Darassa
...
ulivyojidabika oh mama eeh, yaani we ndo my woman
Itabidi wakushangae, I’m proud of you my woman
mi siogopi kwani ye ndiye wa moyo bambio
na akiombeki na mkia huo fagio
ohh ohh fagio
ehh ehh fagio
ohh ohh ehh ehhh
ah you make a man wawawawahh
woman why you do me lala like that
you make me sing nananana
she got that beauty kampa mama
mapenzi yanaweza kuchepua jangwani
mapenzi hayadanganywi usifanye utani
‘shikwa na polisi utafungwa ukae ndani
eti kushika mapenzi mambo hadharani
n’kubebe mgongoni nikuzungushe mtaani
au nifungue moyo ndani uone thamani
no game, game over nime-surrender
sina sina sera sina ajenda
sina pa kwenda, mtu ukipenda, danger
unaweza kusaga chuma kwa blender
ulivyojidabika oh mama eeh, yaani we ndo my woman
Itabidi wakushangae, I’m proud of you my woman
mi siogopi kwani ye ndiye wa moyo bambio
na akiombeki na mkia huo fagio
ohh ohh fagio
ehh ehh fagio
ohh ohh ehh ehhh
is too much sweety
unapotabasamu haunishi hamu
my lemon my sugar sugar tam tam
I’m proud of you my woman
mi siogopi au we ndo nyota ya kamchezo
ni gharama hakuna chanya zote hizo
waambie kwangu ushatulia bila kiungulia
anachotaka nakata, pochi namnunulia
namwaga manoti nahudumia
kahitaji tochi nammulikia
kashavua upweke, vua koti namkumbatia
I need you by my side, need you in my life
girl I wanna marry you, can you be my wife
sikumwagii sera za kuja kukulaghai
mi I tell no lie wallahi mama I’m dying
unanipandisha mizuka (zuka)
naruka ruka matuta (tuta)
sifa nyingi za kukupa (nakupa)
mwendo kama umejisusa (unajisupa)
funga kazi namba moja top top
kote mwanamke wa uswazi anajua sop sop
chote anachovaa kinamfaa dope dope
kwake noka akikaa ndo balaa ohhuhh
ulivyojidabika oh mama eeh, yaani we ndo my woman
Itabidi wakushangae, I’m proud of you my woman
mi siogopi kwani ye ndiye wa moyo bambio
na akiombeki na mkia huo fagio
ohh ohh fagio
ehh ehh fagio
ohh ohh ehh ehhh
come estas, niko na Darassa yaap
yebabahh uhh lalahhh Abah
ahh babah, vitu vitamu ndo vinagharamiwa
Lyrics by Steven Godfrey