
Leo ft. Jux Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2019
Lyrics
Leo ft. Jux - Darassa
...
Leo Darassa ft Jux
hello! its me again
mr. burudani take away the pain
pole kwa kuchelewa si unajua foleni
nawapa vidonge kutuliza complain
kichwa! sijabeba kama pambo
akili! nimetega kwenye chambo
full! chaji na full bando
ukileta soo unawekwa kando
anamaseke ukitete muulize
ila kama mapepe mtulize
sema nae ooooh aaaah eeeh
ooooh aaaah eeeh
kama ulijua cheche
imekuwa kasheshe
huwezi kuzuia mvua wacha inyeshe
sema nae ooooh aaaah eeeh
what they say ooooh aaaah eeeh
utauawa bure sijalala nimeficha tu makucha
huku ndani ndio kwanza kumekucha
vunja mifupa waulize nani kaachiwa bucha
leo kama ni kishindo tingisha
kama ni mzuka pandisha
kama ni maji mwagika
kama ni mnazi katika
leo kama ni kishindo tingisha
kama ni mzuka pandisha
kama ni maji mwagika
na kama ni mnazi katika
kama ni mbuzi limechanika
spika zinakita mbona patachimbika leo
yeah yeah
mama sita take a picture tunatikisa leo
leoo x4
waweke walete mpira kati
nimeondoka kidogo tuu vagaranti
niko online unataka kuchati
i am not finish am just get start
mazungumzo baada ya habari
cheza mbali maana hali sio shwari
jichanganye kama kachumbari
chumvi mpaka kwenye chai hii ya leo kali
umebugi step hebu check check
if am mistaken umegeuza gazeti
ukitaka kazi ya jeshi don't forget hakuna wakukupetipeti
anamaseke ukitete muulize
ila kama mapepe mtulize
sema nae ooooh aaaah eeeh
ooooh aaaah eeeh
kama ulijua cheche
imekuwa kasheshe
huwezi kuzuia mvua wacha inyeshe
sema nae ooooh aaaah eeeh
what they say oooh aaah eeeh
leo kama ni kishindo tingisha
kama ni mzuka pandisha
kama ni maji mwagika
kama ni mnazi katika
leo kama ni kishindo tingisha
kama ni mzuka pandisha
kama ni maji mwagika
na kama ni mnazi katika
kama ni mbuzi limechanika
spika zinakita mbona patachimbika leo
yeah yeah
mama sita take a picture tunatikisa leo
leoo x4
(instrumental)